Mkuu sumeria si nlishasema toka mwanzo ilikuwa ya watu weusi maana baada ya gharika la sumeria mfalme wao wa kwanza mwenye nguvu alikuwa Enmekar au amraphel aliyejenga ufalme mkubwa zaidi na ukafika ulipofika kupata hizi sifa na ndio historically ni nimrod sababu wanamifanano yote kihistoria,matukio na wakati ila lugha yao ndio ilikuwa na roots za semitic but walikuwa negroids sio weupe nmeshasoma vitabu zaidi ya 10 nmejiridhisha nachosema kuwa Enmekar ndie nimrod na wote tunafaham enmekar alirithi ufalme wa baba yake i.e KUSH mwenyewe na mkewe semiramis huko mesopotamia
Mtoto akawa nimrod ndio akaendeleza utawala wa watu weusi huko sumeria kwa miaka mingi baadaye hadi alipokuja kuzidiwa kete na mfalme neoldaechlomer na baadae sumeria ya kale ikafa huko mesopotamia na jamii ya watu weusi ikavuka bahari kuja afrika kupitia red sea....na wakasettle huko sudan ya sasa ambayo by then iliitwa kingdom of kush that's if at all wote tunaamini kuwa post flood world cradle ya civilization ilianzia middle east at least kwa reference zilizopo
Hivyo narudia tena kwa mara nyingine sumeria empire ilikuwa ya watu weusi mwanzoni kabla ya kuvamiwa na neoldaechlomer(spellings zina shaka) iliyosababisha amraphel kufurumushwa na watu wake kusambaa afrika na mashariki ya kati
Ntasaka hivo vitabu vyote nilivyosoma niviweke hapa vina facts kuanzia za writing mpka michoro kuthibitisha hayo kwa sasa niishie hapa