Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

maswali mengi sijui niyaite ya kitoto au vipi..we kitu imefundishwa katika dini alafu unaanza kuuliza ugoro apa...huyo Yesu nani alimuona??.lakini watu wanaamini alichokileta dunian...soo jaribu kuuliza swali la maana ndugu
Sio ugoro, wewe umeshindwa kumuelewa. Hilo ni jibu la maelezo yake (yanayotegemea imani yake) kumpinga mwenzake pia aliyeegemea ktk imani yake tofauti, hilo swali ni saizi yao. Kwamba sote hatuna ushaidi wa mojakwamoja na badala yake tunaegemea kile tu tulichoaminishwa kimapokeo, sasa inshu ni imani gani ilikukuta kwanza au ilifika kwanza ktk jamii yenu, over.
 
Inategemeana na imani ipi umeegemea? Kila mtu atakuwa sahihi ktk imani yake tu, na kimsingi hapa ndiko kwenye source ya kuhitalafiana kwa jamii hizi mbili. Je Mungu aliumba binadamu na malaika tu, malaika waasi wakaitwa majini ama Mungu aliumba binadamu, majini na malaika yakiwa kama maroboti tu?

Imani ya wengine Inaonesha malaika ni wanaume au wanaweza kujigeuza ktk umbo la chochote na likafanya lenye kustahiki na hilo umbo, Mfano kwa Lutu, walikula na watu wabaya walitaka kuwafanyia uzandiki, walikuwa wanaume.
 
Kwa hivyo mkuu unataka kusema sisi ni kizazi cha majini
kuna majini,malaika na binadamu.hivyo bas.watoto wa majini ni wale half cast .mtu na jini wanazaa.na siyo kila mtu ni mtoto wa kutokana na majini
 
Bara LA Atlantis lilikuwepo but lilizama!!
Coz ya mambo ya kiroho
Binafsi nikiwahi kukitembelea but in spiritual!! Aseee kuna mambo meng ya kujifunza also kuhusu haya ma technology yanayotokea hapa dunian!
Wamekopi na kupest kule Atlantis!!
Ulizeni maswali nitawajibu
NB:NITASEMA NILIYOYAONA,(Spiritual travel)
 
Asee mkuu hebu tuambie walau wewe umeona huko wanaishije
 
Duh wewe kweli mchawi mkuu.... Embu tupe data uliwezaje kufika huko kiroho na experience yako huko ni ipi

Funguka!!
 
Duh.... Hii story naipata wapi kwa kirefu?
 

Baada ya ku-download na kuiangalia video uliyoiweka hapa, nimetafakari kujaribu kung'amua kuwa huyu jamaa(wewe) ni nani? Kwa nini aliweka link na hakusema lolote? How did he come across this Atlantis thing(by the way nilishasikia juu ya Atlantis kitambo sana). Nikasema huyu jamaa ni historian?, archaeologist?..... Basi nikaishia tu kusema acha JF ibaki kuwa JF....
 
kama ukijituma ukasoma vitabu mbali mbali utaweza kuujua ukwel ulipo.wala siyo ngumu kuupata ukweli kama biblia ushaisoma vizuri alaf usome uislam.nakuahid wala hutojisumbua kuusoma uzayuni...utakua ushaupata ukweli...
soma pia historia za makanisa...na habari za mitume katka agano la kale alafu linganisha hivyo visa vya mitume na vilivyosimuliwa katika Quran au hadithi za Mtume au mitume waliopita.alafu utaona ni upande upi mitume wameelezewa vizur zaid
 
Eti alikuwa anatembea na malaika Mtume si alioa katoto ka 8 years kumbe gavriel naye anapenda fantacies
elewa ndugu yangu...nlichoandika nikuwa malaika JIBRIL/GABRIEL alikua akimtembelea/kumtokea Mtume mara nyingi tuu.
swala la MTUME kuoa msichana akiwa bado mdogo lipo hadi katika biblia..hivi unajua Isaka/ISAAC alimuoa Rebecca akiwa na miaka mingapi mkewe Rebbekka???
soma Genesia;25-20...Isaac alimuoa Rebbekka akiwa na miaka 3 tuu...kumbuka biblia imeandika hicho kitu.lakini suala la mtume kuoa kuoa binti mdogo hazipo katika Quran Tukufu.hakujaandikwa kitu kama iko hakikurekodiwa katika kumbukumbu kwahiyo ni wazi uislamu hauhimizi watu kuoa watoto ni makubaliano ya watu wenyewe kulingana na tamaduni zao au wakati wao/enzi
 
Huo ni mfano tu aliutumia Plato Atlantis never existed ni uzushi tu "conspiracy"
 
Umejuaje yote haya?
 
Mwanzo 20-25 hakuna hiki unachosema kipo....
 
Mwanzo 20-25 hakuna hiki unachosema kipo....
inategemea ni biblia gani unatumia pia mkuu...kuna tafsiri za biblia kibao..na huwa zinatofautiana maneno..mfano ipo KJV..-King james version...na RSV-revised scripture version...nk...zipo mingi tuu hizi tafsir thats why zinatofautiana...soo kutoliona hilo andiko ktk app au biblia yako inategemea umetumia biblia ipi...soma zile za zaman mkuu
 
Umejuaje yote haya?
alichokisema jamaa apo ni kweli..wazungu washashtuka ndio maana makanisa mengi huko ulaya yamekosa watu ndiomaana wameanza kuyafanya misikiti na kumbi za starehe.wengi wa wazungu washaona kanisa ni mitaji na utapeli wa watu kadhaa...nsamehe kwa kusema hivyo lkn ndio kitu kinachowatoa katika ukristo kila uchao...
ila huyo ndugu kakosea kusema kuwa waizrael ni waongo...ni kweli kuna waliyoghushi lakini mengi ni ya kwweli...kosa lao kubwa ni kuua kila mtume aliyepingana nao...na hii ikapelekea MUNGU kumtoa nabii wa mwisho kutoka katika damu zao (Ibrahim)..kijukuu cha Ishmael akapewa utume koz waizrael walizidi ukatili....walipojua kuwa mtume MOHAMMAD ni mtume kweli bas wakajipanga kumpinga ili ibakie kuwa wao ndo taifa teule dunia nzima WTF... huo ni ujinga.na ukiendelea kuona kuwa israel ndo the best mbele ya mwenyezi MUNGU then my brother utakua unahitaji kupimwa akili....kipindi cha zaman ni kweli walikua wateule.lakini siku hizi wamechuja..baada ya mfalme DAUDI aliyewalaani....Nabii Yesu pia aliwalaani...soo usiwape vichwa hawa wauaji na magaidi ya dunia hii...washaungana na marekani na uingereza ili waitawale dunia kimya kimya bila watu kujua kinachoendelea
israel wengi wa leo mwisho waon ni motoni ..kubali kataa...wakiongozwa na Netanyahu aka satanyahu
 
Asee mkuu hebu tuambie walau wewe umeona huko wanaishije
Sorry nilikuwa busy na mambo ya kazi
Bado sijapata muda vizuri but na AHIDI nikipata muda mzuri nitaleta story kamili ambayo niliyaona mule!
But mengi Sana'a ambayo nimeshangaa n hiz technology kama za kina elon musk Mara NASA na mengineyo meng n kop&pest

Kuna siri nyingi Sana'a ambazo kuna watu huwa wanazitumia kwa ajili ya kumuandaa huyo atakayekuja kutesa ulimwengu!

Natumaini Leo jumapili nitapata muda mzuri

Cc zitto junior
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…