Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Nakupinga mkuu!
Hili bara lilikuwepo na IPO SIKU LITARUDI TENA!!!
Okay sitabishana nawee ila at least mkubali kuwa iyo ni imani tu msijaribu kutengeneza facts za kulazimisha kwa kitu ambacho ilikuwa just imagination ya binadamu mwenzako tu babu yetu Plato.
 
Malaika hanajinsia sema majini
Mbona tunaambiwa Maria alipata mimba kwa uweza wa roho mtakatifu?? Je hao malaika wanashindwa vipi kutunga mimba pia au mimba ni mpaka ulale na mwanamke??

Kingine soma story ya Ibrahim alipotembelewa na malaika na pia Lutu alipotembelewa na malaika..... Biblia iko wazi kwamba walikula, wakalala, wakaongea, wakapumzika sasa kama waliweza kufanya mambo yote ya kibinadam kwanni washindwe kulala na mwanamke pia??

Vilevile sodoma na gomora tuliona wakazi wa mji wa sodoma walitaka kuwaingilia kimwili wale malaika waliokuja kwa lutu... Je kma hawana jinsia hao wanadamu waliwezaje kuwatambua kma ni mwanaume au mwanamke??

Anyways point yangu ni kwamba malaika anauwezo wa kuvaa mwili wa binadamu ndio akafanya vitendo vyote vya kibinadam kama kula,kuoga n.k hivyo basi hao malaika waliotupwa pia obvious walivaa mwili wa kibinadam ili waweze kuwaingilia wanawake

Cjui nmeeleweka
 
Bara LA Atlantis lilikuwepo but lilizama!!
Coz ya mambo ya kiroho
Binafsi nikiwahi kukitembelea but in spiritual!! Aseee kuna mambo meng ya kujifunza also kuhusu haya ma technology yanayotokea hapa dunian!
Wamekopi na kupest kule Atlantis!!
Ulizeni maswali nitawajibu
NB:NITASEMA NILIYOYAONA,(Spiritual travel)
ok briefly uliona nini?na je hii bermuda ipo?nadhani utatupa uzoefu wako huko kwa faida ya wengi
 
Atlantis ni ngano ya kigiriki, paukwa pakawa ambayo kwa sehemu kubwa imechangia mwigo wa hadithi ya Sodoma na Ghomora kuazimwa na Wayahudi, ziko nyingi ngano Za miji na staarabu zilizopotea, lakini katika hizi kuungua na kuzama kwa mji wa Pompeii, ni tukio la kweli la kihistoria ambalo pia ndio chanzo cha simulizi za kiama mwisho wa dunia kama yasemavyo mafundisho ya dini mamboleo zetu: Judaism, Ukiristo na Uislamu
 
Duh so biblia na quran ilicopy na kupaste hii hadithi?? Cc mitale na midimu Hammaz Che mittoga
 
Back
Top Bottom