Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Kwa iyo shetani ni jini ama malaika kwa asili?

Ninavyo fahamu Mimi. Neno jini na shetani ni maneno tuliyokopa kutoka kwenye lugha Arab. Shetani kwa kiarabu ni chochote kinacholeta madhara kwenye mwili. Eidha ya kiafya n.k. Kwa hiyo shetani ni ile hali inayoleta madhara.

Tuje kwenye swali lako.
Jini kwa asili ni jini ameumbwa kwa malighafi moto. Huyu ndiye anayeleta madhara kwa mwanadamu kwa hiyo anapewa sifa ya ushetani.

Malaika ni malaika na asili yake inabaki kuwa vilevile ni malaika. Ameumbwa kwa malighafi nuru. Kwa kifupi jini hajazuka. Bali ni kiumbe aliyeumbwa tangu mda.
 
Ninavyo fahamu Mimi. Neno jini na shetani ni maneno tuliyokopa kutoka kwenye lugha Arab. Shetani kwa kiarabu ni chochote kinacholeta madhara kwenye mwili. Eidha ya kiafya n.k. Kwa hiyo shetani ni ile hali inayoleta madhara.

Tuje kwenye swali lako.
Jini kwa asili ni jini ameumbwa kwa malighafi moto. Huyu ndiye anayeleta madhara kwa mwanadamu kwa hiyo anapewa sifa ya ushetani.

Malaika ni malaika na asili yake inabaki kuwa vilevile ni malaika. Ameumbwa kwa malighafi nuru.
Mkuu kwanza nikupongeze kwa ilimu yako hadimu unayotupa oustadh ila nna maswali naomba unisaidie

1. Kwanni Allah aliumba majini
2. Majini wanaishi wapi??
3. Hatima ya majini ni nini?? Je watahukumiwa kama sisi ama??

Natanguliza shukran
 

Umejitahidi, je unadhani kila takataka unayoikuta youtube na Google ni ushahidi? hivi unajua chochote kuhusu forgery and fabrication of evidence?
hiyo video ni uongo
Can you handle the truth?
No "hidden code", no "secret bloodline", no "arcane wisdom", no "holy grail", in fact, no mystery at all – just the unembellished truth about the greatest fraud in history. Jesus Never Existed reveals a disturbing truth: that the triumph of Christianity was a disaster for humanity – made chillingly ironic by the bogus nature of its central character, superstar and "saviour". Jesus Never Existed is an uncompromising exposure of the counterfeit origins of Christianity and of the evil it has brought to the world. May be for those who wish to keep their faith in the cosy bliss of historical ignorance.

Kenneth Humphreys
 
View attachment 784399View attachment 784400
paleontology na archaeology
katika eneo ambalo inakadiliwa ilikuwepo sodoma na gomora huko mashariki ya kati.
machimbo yanaonyesha moto tena wenye sifa ya kwenye maandishi ya bibilia uliharibu hapo.
sina muda wa kutosha kuelezo hilo, ila siku nikipata muda ntakuongezea nyama mkuu.
unatuletea picha tu na Video clips, bila sources na citation???? Hiyo picha nayo ni uongo, haina uhusiano wowote na unayosema. Judaism, Christianity and islam, dini tatu za uongo
 
Ninavyo fahamu Mimi. Neno jini na shetani ni maneno tuliyokopa kutoka kwenye lugha Arab. Shetani kwa kiarabu ni chochote kinacholeta madhara kwenye mwili. Eidha ya kiafya n.k. Kwa hiyo shetani ni ile hali inayoleta madhara.

Tuje kwenye swali lako.
Jini kwa asili ni jini ameumbwa kwa malighafi moto. Huyu ndiye anayeleta madhara kwa mwanadamu kwa hiyo anapewa sifa ya ushetani.

Malaika ni malaika na asili yake inabaki kuwa vilevile ni malaika. Ameumbwa kwa malighafi nuru. Kwa kifupi jini hajazuka. Bali ni kiumbe aliyeumbwa tangu mda.
Sa skiza, mna mambo hata sielew mnatoa wapi.

Kuna shetani( lucifer), kuna jini awa ndo fallen angels ile theruthi ya malaika walotupwa chini pamoja na Lucifer. Soma biblia ina maelezo mazuri. Hawa wote wameumbwa kwa moto Lucifer isipo kua Lucifer kwa madini kadhaa zaidi yame ainishwa pia kwenye biblia.
Jini ni malaika waasi hao pia ndo huitwa mapepo ama pepo wachafu.
 
Mbona tunaambiwa Maria alipata mimba kwa uweza wa roho mtakatifu?? Je hao malaika wanashindwa vipi kutunga mimba pia au mimba ni mpaka ulale na mwanamke??

Kingine soma story ya Ibrahim alipotembelewa na malaika na pia Lutu alipotembelewa na malaika..... Biblia iko wazi kwamba walikula, wakalala, wakaongea, wakapumzika sasa kama waliweza kufanya mambo yote ya kibinadam kwanni washindwe kulala na mwanamke pia??

Vilevile sodoma na gomora tuliona wakazi wa mji wa sodoma walitaka kuwaingilia kimwili wale malaika waliokuja kwa lutu... Je kma hawana jinsia hao wanadamu waliwezaje kuwatambua kma ni mwanaume au mwanamke??

Anyways point yangu ni kwamba malaika anauwezo wa kuvaa mwili wa binadamu ndio akafanya vitendo vyote vya kibinadam kama kula,kuoga n.k hivyo basi hao malaika waliotupwa pia obvious walivaa mwili wa kibinadam ili waweze kuwaingilia wanawake

Cjui nmeeleweka
Nimekuelewa baba""
 
Ndugu mbona tunajua sana hadithi za watu? sisi hadithi zetu ziko wapi? Hadithi na ngano Za Asia na Ulaya je Za kwetu ziko wapi?
wakikujibu ni tag "" jinsi " watu walivyomeza haya masimilizi ya huko middle east "" inafika mahala umaweza kuhisi kuwa race ya watu weusi imeanza kuja miaka ya karibuni hapa duniani ...maana hekaya zao zote wanajitaja wao tu""
 
Hapa vipi mkuu mbona inaonyesha Biblia inatambua uwepo wa greek mythologies?? Kiasi kwamba inasema ufunuo mungu wa kigiriki HADES atawaachia wafu wote pia inatambua ukifa roho yako inachukuliwa na mungu Hades??? Je hawakucopy na hii???

Mathayo 1:13
"And you, Capernaum, will not be exalted to heaven, will you? You will descend to Hades; for if the miracles had occurred in Sodom which occurred in you, it would have remained to this day.

Ufunuo 20:13
And the sea gave up the dead which were in it, and death and Hades gave up the dead which were in them; and they were judged, every one of them according to their deeds. Then death and Hades were thrown into the lake of fire This is the second death, the lake of fire.

Cc nyabhingi hearly capitalpool
hawa watu tatizo lao ni blind followers and they are history ignorants
hapo ukute kila siku analisoma jina Hades lakini hajawahi kujisumbua kujua ni nini?
tutawakomboa tu hawa watumwa wa wazungu na waarabu
 
9afccd617c574cca59b0a9963ba2e693.jpg
9afccd617c574cca59b0a9963ba2e693.jpg
0308f9ea5bc10c40870dc163edd79a7d.jpg
 
Back
Top Bottom