Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
20182,18000!!!!!!?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20182,18000!!!!!!?????
Kwa iyo shetani ni jini ama malaika kwa asili?
Mkuu kwanza nikupongeze kwa ilimu yako hadimu unayotupa oustadh ila nna maswali naomba unisaidieNinavyo fahamu Mimi. Neno jini na shetani ni maneno tuliyokopa kutoka kwenye lugha Arab. Shetani kwa kiarabu ni chochote kinacholeta madhara kwenye mwili. Eidha ya kiafya n.k. Kwa hiyo shetani ni ile hali inayoleta madhara.
Tuje kwenye swali lako.
Jini kwa asili ni jini ameumbwa kwa malighafi moto. Huyu ndiye anayeleta madhara kwa mwanadamu kwa hiyo anapewa sifa ya ushetani.
Malaika ni malaika na asili yake inabaki kuwa vilevile ni malaika. Ameumbwa kwa malighafi nuru.
unatuletea picha tu na Video clips, bila sources na citation???? Hiyo picha nayo ni uongo, haina uhusiano wowote na unayosema. Judaism, Christianity and islam, dini tatu za uongoView attachment 784399View attachment 784400
paleontology na archaeology
katika eneo ambalo inakadiliwa ilikuwepo sodoma na gomora huko mashariki ya kati.
machimbo yanaonyesha moto tena wenye sifa ya kwenye maandishi ya bibilia uliharibu hapo.
sina muda wa kutosha kuelezo hilo, ila siku nikipata muda ntakuongezea nyama mkuu.
Sa skiza, mna mambo hata sielew mnatoa wapi.Ninavyo fahamu Mimi. Neno jini na shetani ni maneno tuliyokopa kutoka kwenye lugha Arab. Shetani kwa kiarabu ni chochote kinacholeta madhara kwenye mwili. Eidha ya kiafya n.k. Kwa hiyo shetani ni ile hali inayoleta madhara.
Tuje kwenye swali lako.
Jini kwa asili ni jini ameumbwa kwa malighafi moto. Huyu ndiye anayeleta madhara kwa mwanadamu kwa hiyo anapewa sifa ya ushetani.
Malaika ni malaika na asili yake inabaki kuwa vilevile ni malaika. Ameumbwa kwa malighafi nuru. Kwa kifupi jini hajazuka. Bali ni kiumbe aliyeumbwa tangu mda.
alaika anakesha anakulinda??? kwahiyo wale madiwani wanaopigwa mapnga malaika wao wanazidiwa nguvu au? imani nyingine zinachekesha sana[/QUOTE]
ha hahaa[/QUOTE]alaika anakesha anakulinda??? kwahiyo wale madiwani wanaopigwa mapnga malaika wao wanazidiwa nguvu au? imani nyingine zinachekesha sana
Nimekuelewa baba""Mbona tunaambiwa Maria alipata mimba kwa uweza wa roho mtakatifu?? Je hao malaika wanashindwa vipi kutunga mimba pia au mimba ni mpaka ulale na mwanamke??
Kingine soma story ya Ibrahim alipotembelewa na malaika na pia Lutu alipotembelewa na malaika..... Biblia iko wazi kwamba walikula, wakalala, wakaongea, wakapumzika sasa kama waliweza kufanya mambo yote ya kibinadam kwanni washindwe kulala na mwanamke pia??
Vilevile sodoma na gomora tuliona wakazi wa mji wa sodoma walitaka kuwaingilia kimwili wale malaika waliokuja kwa lutu... Je kma hawana jinsia hao wanadamu waliwezaje kuwatambua kma ni mwanaume au mwanamke??
Anyways point yangu ni kwamba malaika anauwezo wa kuvaa mwili wa binadamu ndio akafanya vitendo vyote vya kibinadam kama kula,kuoga n.k hivyo basi hao malaika waliotupwa pia obvious walivaa mwili wa kibinadam ili waweze kuwaingilia wanawake
Cjui nmeeleweka
wakikujibu ni tag "" jinsi " watu walivyomeza haya masimilizi ya huko middle east "" inafika mahala umaweza kuhisi kuwa race ya watu weusi imeanza kuja miaka ya karibuni hapa duniani ...maana hekaya zao zote wanajitaja wao tu""Ndugu mbona tunajua sana hadithi za watu? sisi hadithi zetu ziko wapi? Hadithi na ngano Za Asia na Ulaya je Za kwetu ziko wapi?
hawa watu tatizo lao ni blind followers and they are history ignorantsHapa vipi mkuu mbona inaonyesha Biblia inatambua uwepo wa greek mythologies?? Kiasi kwamba inasema ufunuo mungu wa kigiriki HADES atawaachia wafu wote pia inatambua ukifa roho yako inachukuliwa na mungu Hades??? Je hawakucopy na hii???
Mathayo 1:13
"And you, Capernaum, will not be exalted to heaven, will you? You will descend to Hades; for if the miracles had occurred in Sodom which occurred in you, it would have remained to this day.
Ufunuo 20:13
And the sea gave up the dead which were in it, and death and Hades gave up the dead which were in them; and they were judged, every one of them according to their deeds. Then death and Hades were thrown into the lake of fire This is the second death, the lake of fire.
Cc nyabhingi hearly capitalpool
hawa watu tatizo lao ni blind followers and they are history ignorants
hapo ukute kila siku analisoma jina Hades lakini hajawahi kujisumbua kujua ni nini?
tutawakomboa tu hawa watumwa wa wazungu na waarabu
Nyabingi signature yako tamu sanahawa watu tatizo lao ni blind followers and they are history ignorants
hapo ukute kila siku analisoma jina Hades lakini hajawahi kujisumbua kujua ni nini?
tutawakomboa tu hawa watumwa wa wazungu na waarabu