Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Hahahhaa huyo huyo mkuu kuna uzi wake unaweza pita ukaongezea mawili matatu ingawa waarabu wanamuita OG IBN ANAQ hivyo wamepora ngano yetu hii sababu hatuna maandishi ya kuback up stori hii
Mfalme OG: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu
Halafu kuna kitu huwa najiuliza sana. Hivi huu ustaarabu wa kuwa na maandishi ulianzia wapi? Na kwa nini wenzetu kwa asilimia kubwa wana herufi za kwao wenyewe ila sisi hapana. Kwa afrika watu wenye maandishi ya kwao niliwaona ni wahabeshi labda na farao wa misri ya kale.
Au Mimi sielewi nini? Hivi hii imekaaje?
Mkuu Zitto kuna bandiko lolote linalohusu hicho kitu ili niondoe ujinga?