zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
-
- #201
Duh kumbe hii dunia kuna mengi sana tumefichwa hadi wanafikia kupiga ban?? Hatari sanaIlikuwa somehow inaelezea hii kitu. Ikapigwa ban usa isiendelee...
But ilikuwa na some truth kuhusu mipango ya hawa jamaa in the future hasa pale ending km vile sayari nyingine imeisogelea dunia....pale ingeendelea ingedadavua zaidi...ikapigwa ban.
Sio wewe tu, hapa nafuatilia tangu mwanzo ila kichwa kigumu, japo kuna Teacher kipindi nipo Chuo alitupigia coz ya Particle Physics, lakini haya mambo hakuyagusa, sijui kwa nini. Kipindi hicho ilikuwa inaitwa PH364-UDSM. Aliishia kuelezea tu kuhusu particle na antiparticle, na QUARKS.Hizi hesabu mbona sizielewi inakuwaje Uende Kwenye Jua na Kurudi ukute watu wamekufa uliowaacha.. ?
Mkuu Eiyer nafurahi kukuona hapaMkuu zitto junior ,nimesoma uzi kwa kiwango kikubwa na labda tu nikueleze kuwa bahati mbaya sijawahi fuatilia hili suala mkuu...
Nitakuwa mwanafunzi mkuu ili nijisomee na mimi nipate ujuzi zaidi wa jambo hili...
Nimeona kuna ndugu amezungumzia pia ishu ya CERN.Ameelezea vyema kwa maana ya kile ambacho wakuu wa LHC wanataka watu wakielewe.Lakini kuna upande mwingine wa jambo hili kama ambavyo kuna ndugu mwingine ameeleza pia huko juu...
Acha wakuu wadondoshe nondo na sisi tujisomee mkuu...
Ahsante sana kwa kuniita huku nami nimejifunza mengi....
Pamoja kiongozi....
nimepitia habari za CERN nimeishia kuja na hili lisanamu lililoko nje ya makao makuu ya wanaoendesha hiyo project ya cern. hindu goddess ambaye ni destructive goddess.CERN ni muunganiko wa nchi za ulaya kwenye tafiti za masuala ya particles ina maana hadi masuala ya anti-matter yanafanyika pale. Masuala yote ya vitu vinavyohusu utafiti mkubwa zaidi wa Particles yanafanyika kwao, wana mtambo mkubwa unatoka Ufaransa hadi Uswiss ndani yake ndio hizo particle zinapotestiwa.
Kuongezea ndipo internet (world wide web) ilipozaliwa.
Kuna baadhi ya conspirancies zinasema kupitia majaribio ya CERN tunaweza fungua mlango wa ulimwengu nyingine ambapo tunaweza leta demons na viumbe vingine kuharibu ulimwengu wetu!. Pia wanasema ndio Teknolojia ya Time travel inapoweza kuja tokea!.
Lakini kubwa ni hilo la utafiti wao wa Anti-matter kuweza sababisha madhara kwa dunia yetu!.
Hizi chumvi za teleportation ni kama kiki zetu bongo tu; Tukitaka divert kitu tunatoa jambo lingine!.. Lakini wao wameweza kuziweka kiki zao zikakaa kwenye mainstream.
Mkuu kwanini unasema haiwezekani ilihali discoveries zinafanyika kila siku hadi leo kuna missiles zinasafiri kwa spidi kubwa sana tena kwa sekunde kutoka nchi moja kwenda nyingine kwanni usiamini iko siku wataweza kusafirisha kitu kwa spidi ya mwanga wa radi!!!Napenda na kufarijika na maendeleo yanayoletwa na sayansi ila kwa hizi nadharia za kusafiri kwa speed ya light na teleportation ni jambo lisilowezekana...
Habari kubwa hiziSheikhe yahaya alikuwa na mambo mengi ya mambo ya Giza lakini ukiweza kuyaweka katika sayansi ya fizikia yatakuletea mambo makubwa sema yeye alijiweka katika uchawi wa kijinga usio na faida kwa jamii labda kwake
Karibu mkuu utuelemishe watu bado wana kiu ya kujifunza mengi ndio maana hawachezi mbali na jukwaa hilihuu uzi naona unafufuka cern nao wamepiga hatua nitaleta mwendelezo wa hii project nikipata document zinazotosha kutengeneza post tatu kumbe hu uzi haustop unajifufua tu umenifufua na mimi kaeni mwendo wa kulaaa
NAKUJAAAA KIONGOZIKaribu mkuu utuelemishe watu bado wana kiu ya kujifunza mengi ndio maana hawachezi mbali na jukwaa hili
Tunaksubiri
Aseee nmeupitia mjadala ni moto!! Ila ntarudi kwa mchango zaidi baadae....PITIENI NA HUU UZI KUJUA KWA BILA WANASAYANSI WA AFRICA PIA AMERCA NA ULAYA WASINGEFANIKIWA KWA LOLOTE TATIZO NI TAMAA ZA WANASAYANSI WA AFRICA UZI HUU UNAFACT TUPU
Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao
p1Aseee nmeupitia mjadala ni moto!! Ila ntarudi kwa mchango zaidi baadae....