Mkuu
zitto junior ,nimesoma uzi kwa kiwango kikubwa na labda tu nikueleze kuwa bahati mbaya sijawahi fuatilia hili suala mkuu...
Nitakuwa mwanafunzi mkuu ili nijisomee na mimi nipate ujuzi zaidi wa jambo hili...
Nimeona kuna ndugu amezungumzia pia ishu ya CERN.Ameelezea vyema kwa maana ya kile ambacho wakuu wa LHC wanataka watu wakielewe.Lakini kuna upande mwingine wa jambo hili kama ambavyo kuna ndugu mwingine ameeleza pia huko juu...
Acha wakuu wadondoshe nondo na sisi tujisomee mkuu...
Ahsante sana kwa kuniita huku nami nimejifunza mengi....