Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT


Ni sawa ,sasa kama nikirudi Mfu pana Faida gani tena hapo na Muda nntakuwa nimeufaidi vipi ?.Na ujue amesema kasi ya Mwanga inachukua Dk kadhaa kufik au kurudi Duniani Mkuu
 

Mimi hapa nakuona wewe umejichanganya kwenye vitu viwili. Kulingana na maelezo yako ulivyofafanua aina za teleportation, ambazo hapo awali mimi nilikuwa sizijui, nimeweza kupata mambo matatu yafuatayo, ambayo wewe umeyaelewa tofauti.

MOJA: Ni kwamba aina ya Teleportation iliyofanyika kwenye meli tajwa katika mada hii ni PARTICLE TELEPORTATION na si STATE TELEPORTATION, kama ulivyo rule out wewe. Kulingana na maelezo yako, mimi nimepata picha kuwa state teleportation inahamisha STATE ya kitu tu na chenyewe kinaendelea kubaki physically pale pale kilipo. Yaani kama wewe hapo uko Ulaya sasa hivi, mwili wako unaendelea kubaki huko Ulaya lakini vitu vingine unakuwa uko Tanzania, unaona watu wa Manzese, unaona magari yanavyopita mitaani kariakoo, n.k.

PILI: Teleportation iliyofanyika hapa ilihamisha meli kwa umbali ambao si zaidi ya km 300,000. Kwa hiyo, assuming ilifanyika ndani ya sekunde moja, au hata chini ya hapo, bado teleportaion hiyo haikufanyika kwa kasi inayozidi kasi ya mwanga kwa sababu kutoka pale meli ilipokuwa mwanzo kwenda kule ilikohamia baada ya zoezi kufanyika, sidhanikama umbali wake unazidi hata km 10,000 achilia mbali km laki tatu! Kwa hiyo kwa makisio yangu, teleportation iliyofanyika hapa ilikuwa na kasi ambayo ni ndogo ANGALAU MARA 30 ukilinganisha na ile ya mwanga

TATU: Kufuatia hoja namba mbili hapo juu, Teleportaion hiyo ilifanyika na haikukiuka natural laws. Ingeweza kukiuka tu iwapo ingeweza ku-teleport meli hiyo kwa umbali wa angalau km 300,000 na chini ya muda ambao ni sekunde moja.
However, I stand to be corrected!
 

Kwenye Twin Paradox, you can prove this mathematically. Uko sahihi kabisa ila nadhani jua liko umbali wa km 149,600,000 au maili 93,500,000. Kwa hiyo ukitaka kusafiri kwenda na kurudi kwenye jua itabidi utumie sekunde angalau elfu moja. 500 za kwenda na 500 za kurudi!
 
Kuna kitu watu wanashindwa kuelewa juu ya Philadelphia experiment kwanini watu walikufa na wengine walipata mental paralysis au mental shift ...

Binadamu katika physical morphology can see and interact with other things katika mfumo wa 3D ( three dimension) tofauti na hapo ni lazima ugeuze morphology ya mwanadamu toka physical form into non physical form....

People died because they were about to change form ili kuendana na aina ya teleportation iliyofanyika...

Teleportation inaruhusu kama kitu kitakuwa frexible kuchange physical appearance ili kuendana na movement katika microholes kwenye space ambazo zinaruhusu vitu kupita katika mfumo tofauti kabisa...

Ndo mana watu walifika kule wakiwa hawana baadhi ya viungo ,

There was one option in order to survive under that experiment...
ulitakiwa either mwili wako upite katika zile microholes ila mind yako ibaki au mind ipite lakini mwili ubaki...

Ni ngumu sana mwili na mind kupita katika dimension kubwa above 3D ,ila kimoja kinatakiwa kubaki kutokana na aina ya mfumo wenyewe...

Thats why waliofika kule walikuwa disabled au miili yao iliokotwa huku mind zao zikiwa zimebaki somewhere hanging na kumbuka mind ndo inayokuwezesha kupata utambuzi wa mazingira ,so walikuwa kwenye coma( unconscious) condition.

Hii experiment iligharimu maisha ya watu na ndo mana waliofanyiwa au kuchaguliwa kama sample walikuwa ni wafungwa ambao hawakuwa na faida yoyote kwenye jeshi hilo na wengine ni baadhi ya wanajeshi ambao hawakujua lengo la experiment ile ..

Teleportation ina madhara makubwa sana kama haiko handled vizuri..
 

Kutengeneza chombo stahiki sina uhakika sana, inaweza kuwa isiwe vigumu tu bali pia impossible. According to natural laws, E=mc^2. Hii nishati inayotokana na Mass ya chombo kinachosafiri kwa kasi ya mwanga, kwa hiyo sehemu ya mass yake huwa inakuwa converted into energy, sasa jiulize hapo hiyo physics itakayotumika kubuni chombo cha aina hiyo. Still kitu ambacho mimi nadhani kinaweza kikaja kufanyika, ni hiyo teleportation kwamba kitu kinaji-dis-assemble hapa na kuyeyuka ghafla halafu ndani ya sekunde mjoa kinakuwa kimeji-assemble tena sehemu nyingine kule kilikokuwa kimepanga kwenda, lets say kwenye Galaxy ya Andromeda, ambayo iko angalau 20,000 Light Years away. Kitu hiki kikiwezekana, basi kasi ya mwanga kwa teknloji hii itakuwa ndogo kuzidi hata ile ya konokno!
 
Aiseee.. hiyo Project CERN haina lengo zuri na sisi wanadamu. Nimesoma mpaka nimepata goose bump
 

Uko sahihi, teleportaion should work on the principles of MEDITATIONS and the like, but not phsics. Hapa hakuna phsics hata kidogo, kuna meditation tu!
 
Uko sahihi, teleportaion should work on the principles of MEDITATIONS and the like, but not phsics. Hapa hakuna phsics hata kidogo, kuna meditation tu!
Mkuu kwa meditation unaweza kuhamisha kitu?

tatizo lugha
 
Aiseee.. hiyo Project CERN haina lengo zuri na sisi wanadamu. Nimesoma mpaka nimepata goose bump
Lengo sio uzuri kwako ila kuwa na ubaya tu na hasa kutowesha kizazi kinachoamini katika dini!! Ila sio Mimi wala wewe watakaoweza kuona madhara yake ila hay ni maandalizi ya vizazi zaidi ya kumi vijavyo!!
 
Mkuu kwa meditation unaweza kuhamisha kitu?

tatizo lugha

Ninadani hivyo kwa sababu almost everything nje ya Sayansi ni Meditation. Zipo za aina nyingi, wewe nadhani umejikita kwenye Yoga tu na ndiyo maana unashangaa. Hata uchawi is just one form of meditation. Kwa kifupi maana ya meditation ni tafakuri ya hali ya juu kwenye mazingira ya utulivu, basi. Meditation siyo Yoga tu!
 
Mkuu nadhani utakuwa umepata muda.

Tueleze mkuu japo tujue..

Enhee ikawaje...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Our Physics is not complete kama ya kwao even some of their curriculum ya physics ipo na vitu vingi sana vyenye applicability kwa mazingira yao.

Sent using Infinix hot 4
Aha kwani ya kwetu scope yake imeishia wapi? Mf kwenye masuala ya anga kama hizo time travel kuna chochote imeeleza kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aha kwani ya kwetu scope yake imeishia wapi? Mf kwenye masuala ya anga kama hizo time travel kuna chochote imeeleza kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanikiwa kusoma physics pamoja na kuna a ndugu zangu ambao ni walimu wa physics ila umahiri wao upo moderate sana. Hapa ishu za time travel pamoja na transportation hazijazungumziwa in deep sana zipo shallow

Sent using Infinix hot 4
 
Hii Mada upuuzi tu

Albert Eistein hajawahi kuandika chochote kuhusu Teleportation Wala Quantum physics

In short,Alikua ni Mkosoaji mkubwa wa hizo nadharia

Pia quantum Teleportation haiwezi kuamisha hata punje ya ngano Achilia mbali Meli

Next time ukopi kwa akili sio unaandika upuuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…