Bora ungeficha tu ujinga wakoNakumbuka shehk yahaya katika vipindi vyake aliwahi kusema kuwa kuna jini ambalo lina uwezo wa kuhamisha nyumba na kuipeleka sehemu nyingine kufumba na kifumbua, sasa sioni tofauti na hii, tatizo tumesha amini kwamba wazungu sio wachawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumelishwa uongo wa kuwa kila kitu cha mzungu ni sayansi but in reality it is just another witchcraft tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] You made my Day.Hivi ile hali ya kuwaza mtu alafu unashtukia ana gonga mlango wako wa nyumba kufungua unakuta ni yeye na unaishia kumuambia tu,nilikuwa nakuwaza sasa hivi.Je inawezekana kuwa huyo mtu umemteleport?.