Nyie mmemuuzia GSM yanga kwa sh ngapi?Tujadiliane. Kumezuka hoja kuwa Yanga wananyonywa kimapato kwa kupata Tsh 1,300 @ jezi katika mkataba wao wa jezi za msimu huu. Hoja hii haijafafanua chochote juu ya gharama za utengenezaji na hata malipo mengine yaliyoainishwa kwenye mkataba husika.
Sasa naomba tujadiliane, kati ya huo unaoitwa unyonyaji na ule uuzaji wa hisa (49%) za klabu kwa Tsh 20 bn, upi ni unyonyaji? Bilioni 20 ambazo haziwezi hata kujenga uwanja wa kuchukua watu 30k ni thamani halisi ya timu kubwa?
Tuambie wewe unayejua kuwa Yanga imeuzwaNyie mmemuuzia GSM yanga kwa sh ngapi?
Suala la 49% shares kuuzwa kwa Tsh 20bn lipo wazi. Lkn hakuna uwazi juu ya mkataba wa jezi wa Yanga. Sasa waleta hoja za 1,300 @ ndo ambao wanapaswa kukuletea mkataba.Embu leta kwanza hiyo mikataba tuisome tuelewe, hatuwezi kujadili kitu tusichokua na ufahamu nacho.
Suala la 49% shares kuuzwa kwa Tsh 20bn lipo wazi. Lkn hakuna uwazi juu ya mkataba wa jezi wa Yanga. Sasa waleta hoja za 1,300 @ ndo ambao wanapaswa kukuletea mkataba.
Kwenye production yanga wametoa shingapi?Tujadiliane. Kumezuka hoja kuwa Yanga wananyonywa kimapato kwa kupata Tsh 1,300 @ jezi katika mkataba wao wa jezi za msimu huu...
Watu hawajui elimu ya biashaara mnapayuka tuDuuh, 1300 hata wali nyama hupati bila kusahau chips kavu
Kwa taarifa ambazo walitoa Simba pamoja na Vunjabei ni kuwa Vunja bei mkataba wake na Simba ni wa miaka 2 na wenye thamani ya 2B, hivo itakuwa 1B Kwa kila msimuVinja bei kwani anawalipa simba kiasi gani kwenye mauzo ya Jezi, tuanzie hapo
Limeletwa hapa hamsini na wadau wa Simba. Ndo msingi wa hojaHakuna uwazi juu ya mkataba wa jezi sasa ww umejuaje wanapokea 1300 ikiwa mkataba ni wa kificho? Tahira la mo hili bhana
Sana. Hiyo 1,300 kwa jezi miluoni moja ni hela nyingi sanaWatu hawajui elimu ya biashaara mnapayuka tu
Haswaaamakolo wameuza klabu milele
Safi sana, unafikiri kwa msimu mzima Vunja Bei anaweza kuuza jezi pcs ngapi?Kwa taarifa ambazo walitoa Simba pamoja na Vunjabei ni kuwa Vunja bei mkataba wake na Simba ni wa miaka 2 na wenye thamani ya 2B, hivo itakuwa 1B Kwa kila msimu
Haya tushaanzia hapo, sasa tuendelee mkuu...!
Kuna vitu vya kubashiri mkuu ila sio mauzo ya jezi, kama wahusika hawajatoa takwimu ni ngumu kujua, anyway wewe unafikiria zinaweza kuwa pc ngapi?Safi sana, unafikiri kwa msimu mzima Vunja Bei anaweza kuuza jezi pcs ngapi?