mfano umeuza jezi kwa wanachama wako zaidi ya 5m... na ukapewa mlabaha wa 1,300/- toka kwa kila jezi, sawa na jumla ya sh. 6,500,000,000/- kama sijakosea
wakati huo jezi hizo 5,000,000 zikiuzwa kwa thamani ya sh 35,000/- kila moja, ina maana mapato yatakuwa 175,000,000,000/- yatokanayo na jezi bila kodi au gharama zingine za uzalishaji pamoja nk...
sasa baada ya kodi au kabla ya kodi yanga watapata 6.5B kama watauza jezi zipatazo 5M na mzabuni atabakiwa na kiasi cha 150B+ baada ya kodi au kabla ya kodi...
kila la kheri yanga ktk uwekezaji wenye tija na usio na tija...