Upi ni unyonyaji: Tsh 1300 @ jezi au kuuza 49% ya umiliki wa klabu kwa bilioni 20 tu

Sijui akili ya mleta mada au ndio wale wa darasa la upe. Swali dogo 49% Kwa bilion 20 kutoka kwenye thamani gani ya 100. Je thamani ya 100 ni bilion 500 kusema sasa tumepigwa kupewa 20 kwenye 49%. Kwa Utopolo inajulikana out of 35000. Mnapata 1500
Naomba aliyekuelewa anifafanulie mimi wa upe
 
Good analysis
 
Huo wa 1300@ jezi ndio unyonyaji ama upambajo wa oomb kwakua huu wa kuuza hisa asilimia 49 hufanyika kwenye vilabu vingi duniani na hata ndugu zetu UTO. FC wapo kwenye mchakato wa kuouza timu yao kwa beberu GSM kwa asilimia hizo hizo
 
Kuna vitu vya kubashiri mkuu ila sio mauzo ya jezi, kama wahusika hawajatoa takwimu ni ngumu kujua, anyway wewe unafikiria zinaweza kuwa pc ngapi?
Kwa fan base ya simba mauzo ya pcs 1,000,000 kwa msimu ni kwa uchache sana tu aasume simba inapata tshs 5,000 kwa kila pc moja, kama jezi 1m ziliuzwa simba ingepata 5b lakini kwakuwa mkata wao ni wa hovyo watambulia 1b ili hali Yanga ikiwa kwa msimu watauza hizo jezi 1m watapata 1.3b
 
Yanga kabla ya apo walikua awapati chochote kwenye jezi, akaja GSM na offer ya 1300@kwa Kila jezi, Kwa kipindi kile Yanga inatembeza bakuli uongozi uliona ni busara kupata 13000@jezi kuliko kutopata kabisa.
Mkataba wasasa utakapo kwisha Wana nafasi ya kukaa kwenye mazungumzo.
 
Simba kupata 1b kwa msimu bila kujalisha ni jezi ngapi zitauzwa huo ni ulimbukeni
 
Hatukatai kuuza hisa, ila thamani ya hizo hisa. Elewa kabla hujachangia
 

Theory mbaya sana katika biashara.

Kwanini nasema hivyo?

Japo kila jambo linaanza na mipango(katika
maandishi), ila sio kila kilichopangwa huwa
kinatimia. Ingekuwa hivyo sidhani kama kuna mtu angekuwa masikini hadi leo.
i.e. Kuna mfano wa kilimo cha matikiti unatembea sana mtandaoni(itakupa picha nzuri sana).

Tatizo kubwa hamfuatilii mapato na matumizi ya vilabu vyenu[emoji23]

Uhalisia ni huu; kutokana na ripoti ya mapato na matumizi ya Club ya Yanga, Msimu wa mwaka 2020/2021 Klabu ya Yanga iliingiza kiasi cha Mil. 45 katika mauzo ya Jezi.

Chukua 1 Bil.( ya Vunjaei) - Mil 45(Ya GSM) kuna jambo utaelewa.

N.B. Kabla haujaja kupinga hii taarifa nenda kaisome Riport yenu.
 
Mkuu naona umeamua unaongea Kwa hisia na sio fact's, hivi unadhani kuuza jezi 1M bongo rahisi kiasi hicho ehhh, sio tu Kwamba kuuza jezi 1M Tanzania ni ngumu bali ni kwamba HAIWEZEKANI

Kama unafatilia mapato na matumizi ya club yako, Yanga msimu uliopita walitangaza mauzo ya jezi, na takwimu zilionesha kuwa Yanga waliingiza 45M, Yani Kwa Akili za kuvukia barabara ni kwamba waliuza jezi pcs 45000 Kwa msimu mzima

Kwa takwimu hizo ni kheri Simba alieamua kuuza kabisa haki za mauzo ya jezi, maana Vunjabei ata apate hasara atajua mwenyewe ila Simba ishakunja hela, yeye aliamua kutoa 2B Kwa kuamini kuwa atabadiri mbinu za uuzaji wa jezi ili apate faida kwakuwa yeye atakuwa anauza jumla na reja reja kwenye maduka yake

Na siku ingine uwe unafanya research Kwanza, kuuza jezi nakala 1M sio Jambo dogo kiasi hicho, huyo Al ahyl tu hauzi ata jezi 200k ndio ije kuwa Simba...! mauzo ya nakala 1M kuendelea tunaishia kuyaona kwenye team kama, Liverpool,Barca, Madrid, Arsenal,Man city, Chelsea na baadhi ya America kusini
 
Simba kupata 1b kwa msimu bila kujalisha ni jezi ngapi zitauzwa huo ni ulimbukeni
We jamaa unatumia Akili ndogo sana kwenye kujenga hoja, ukisema Simba kupata 1B bila kujua jezi zitauzwa ngapi Kwa msimu unaita ulimbukeni je na unaongeleaje Yanga ambae anauza jezi pcs 45000 Kwa msimu na kuambulia 45M?
 
Kama GSM analipa mishahara mikubwa wachezaji wa kigeni
GSM analipia kambi ya timu kwa msimu mzima
GSM alipia safari za timu msimu mzima
GSM analipa mishahara ya wachezaji wote msimu mzima

Na ubingwa tunapata,tena kuchukua kila kombe.....basi GSM hana haja ya kulipa hata 100 inayopitikana kwenye mauzo ya hizo jezi

GSM hana baya wazee
 
Nyie mmemuuzia GSM yanga kwa sh ngapi?
Haijauzwa, mahojiano ya salama na bwana engineer alisema wako kwenye mchakato wataalam wataifanyia tathmini club halafu nusu ya hisa zitauzwa kwa wawekezaji nusu zitabaki za wanachama na itakuwa mwekezaji yeyote anayeweza kuafford.
 
Kwa taarifa ambazo walitoa Simba pamoja na Vunjabei ni kuwa Vunja bei mkataba wake na Simba ni wa miaka 2 na wenye thamani ya 2B, hivo itakuwa 1B Kwa kila msimu

Haya tushaanzia hapo, sasa tuendelee mkuu...!
Sasambua mkataba
Pamoja na kujitangaza kwenye jezi za Simba
 
Simba kupata 1b kwa msimu bila kujalisha ni jezi ngapi zitauzwa huo ni ulimbukeni
kwa hapo Simba walipoanzia sio mbaya,kama unakumbuka mwaka wa s=mwisho simba kabla hajaingia Vunja Bei Simba waliingia mkataba wa jezi kwa kulipwa milioni 300 kwa mwaka,Simba walivyokuja kutangaza tenda msimu wa pili yake ndio Vunja bei akakoti bilioni mbili mkataba wa miaka 2,Hapo hata kama wewe ndio ungekuwa Ceo usingekataa dili kubwa kama ilo,kutoka milioni 300 mpaka Bilioni moja kwa mwaka,Sasa angalia mkataba wake vunja bei ukija kuisha uyo atakayekuja kupata lazima atangaze bei kubwa,mpaka hapo utakuwa ushaelewa
 
Suala la 49% shares kuuzwa kwa Tsh 20bn lipo wazi. Lkn hakuna uwazi juu ya mkataba wa jezi wa Yanga. Sasa waleta hoja za 1,300 @ ndo ambao wanapaswa kukuletea mkataba.
Like wazi kwa maneno au kimaandishi? Manake mkigombana kidogo tunasikia wanaanza kuulizia bil 20 zipo wapi.
 
Jezi zilizouzwa ni zaidi ya copy milioni moja.

Kila copy yanga anapata 1300 TZS.

1,300 TZS X 1,000,000 TZS=1,300,000,000.

Kwa mwaka yanga amepata 1.3 billion.
 
Duuh, 1300 hata wali nyama hupati bila kusahau chips kavu
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…