Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mambo km hayo ukiomba ushauri humu unaweza ukapewa ushauri ukacheka ulie wakati ww ndio mwenye matatizo.mtu anakwambia tuma picha sasa picha ya mimba au picha ya mkeo humuAsante mkuu, maana nimeisha changanyikiwa.
Sasa, unataka umtupe chooni au?kulea watoto wa wenzako ndio AMANI yako?
Asante mkuu, Kumbuka si wanawake wote wakiwa katika hali hiyo wanaweza kijizuia, mfano mfupi mimi nimekutana na mwenza wangu mkoa flani ambaye tunaishi mbalimbali, na hatukukutana kwa kupanga bali kutokana na ratiba za kazi zetu, na kutokana na hali hiyo Mke akanibana, unadhani ningekwepa kwa namna gani mkuu?Kuna binadamu wa ajabu waroho na wabinafsi....utamuingiliaje mwenzio akiwa kwenye hedhi????? Kwamba msingefanya siju hiyo ingehama au mngekufa????
Kuoata mimba inategemea mzunguko wake ukoje. Mrefu au mfupi. Kuwa mwezini kwa siku 5 u 4 hakuna uhusiano na mimba kuingia au kutoingia.
Na wenye mzunguko mfupi huovulate wakiwa period kama sikosei (google ili kuwa na uhakika zaidi)
Afterall kitanda hakizai haramu
Sio justification ya kufanya mapenzi akiwa anavuja. Kwani mkijizuia...mkakaa kushare vitu vingine kama movie drinks nk mtakuwa hamuenjoy kama wapenzi?Asante mkuu, Kumbuka si wanawake wote wakiwa katika hali hiyo wanaweza kijizuia, mfano mfupi mimi nimekutana na mwenza wangu mkoa flani ambaye tunaishi mbalimbali, na hatukukutana kwa kupanga bali kutokana na ratiba za kazi zetu, na kutokana na hali hiyo Mke akanibana, unadhani ningekwepa kwa namna gani mkuu?