Upi Uoga wako Mkubwa kwenye mapenzi?

Upi Uoga wako Mkubwa kwenye mapenzi?

Niko sehem flan kikaz tumepangwa wanaume na wanawake.

Kuna dada mmoja wa kati umri wa 28 kuelekea 30 hadi 33 na 34 hivi...anaongea sana ila bahati mby anaonekana ana kaushamba flan hivi. Anaishi vijiji vya karb na hana exposure maana anapenda aonekane anajua na mjanja....

Natamani nimtokee nahisi nitaaibika..maana kwa wanawake wa aina yake, ninapendaga nimuache akolee mwenyewe kwangu....

Nahisi muda unakwenda na ataondoka bila kunitunuku tunda....


Ni nurse na anamaliza majukumu yake leo na kesho anasepa....

Mimi ni mtu ambaye napenda mwanamke anipende mwenyewe...aonyeshe dalili na mimi nirukie, na natumia mbinu ya kutoka auti na kuzama huko huko Lodge....ila hapa tupo na nafasi ya kutosha lkn naona nakwenda kukosa tunda na upwiru umenijaa
 
Nahofu sana isije kutokea nimshuhudie Shida wangu akiwa juu ya kifua cha mwanaume mwingine 😣
 
Back
Top Bottom