Upi Usafiri bora kwenda Newala?

Upi Usafiri bora kwenda Newala?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Wakuu habari?

Nategemea kwa kibali cha Allah nitakuwa na safari ya Newala toka jiji la Makala.

Je, ni mabasi yapi mazuri yanakwenda huko?

Nauli kiasi gani? Temeke sudan yapo?

Ahsanteni sana wote
 
Mabasi no Ibrah
Mara ya mwisho nauli ilikua elf27 naskia imepanda ngoja nikuulizie hapa ntakujibu
 
Back
Top Bottom