kigwenje
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 277
- 224
Najua wengi wetu tupo humu tumepitia changamoto za mahusiano. Nisiwachoshe ipo ivi, kuna Dada nimeanza nae mausiano sasa katika mausiano yetu, nataka kuishi nae mke na mume na huyu Dada ni mzaliwa wa Mwanza yani msukuma, wazazi Wake wapo Mwanza. Na, mimi ninachokitaka nijue utaratibu wa kupeleka barua, uko kwao, pia barua itakapoenda niwaombe niweze kuishi nae, ili hapo baadaye taratibu za mali zifuate.
Sasa yeye kaniambia anipe namba za Mama yake niweze kuongea nae na kuweza kumwambia ombi langu na yeye anafata wazazi wanachosema wazazi wakiafiki yeye yupo tayari, na huyo binti anaishi na rafiki yake, kwa hizi siku mbili tatu ninae yuko kwangu, Sasa swali langu, ni ili wale wa zazi Wake, niwapange kwa kuwahambia kitu gani waweze kukubaliana na mimi ili ombi langu walikubali.