Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mamba wawili siyo mbili
Ameniangusha sana huyu jamaa yangu."hizi mamba" we mjita uko wapi.....
Ndio mkuuHivi allgators ni tofauti na crocodile?
Nimelia kwa niaba ya mtoa mada 🤣🤣"hizi mamba" we mjita uko wapi.....
Tofauti Ipo mkuu..
Madhara yakoje ukikutana nao, au wote ni wavunja viuno.Tofauti Ipo mkuu..
Huyo wa Kushoto Ni American Alligator (Alligator mississippiensis) na Huyo mambo wa Kulia anaitwa Nile Crocodile (Crocodylus niloticus) au pia wanaita Saltwater Crocodile (Crocodylus porosus)
tofauti za Mamba hao Ni Umbo la kichwa,Ngozi yao na mpangilio wa Magamba, Na mpangilio wa Macho akama utachunguza Vizuri..
Kwa kiswahili ni aje?Mmoja ni alligator mwingine ni crocodile.
Mwenye mdomo uliochongoka ni alligator (mamba wa baharini hasa huko Australia),mdHivi allgators ni tofauti na crocodile?
Wote ni wavunja viuno!Madhara yakoje ukikutana nao, au wote ni wavunja viuno.
Simpendi kabisa huyu kiumbe aisee..
Mamba na chura Utopolo ni Sawa!Midomo
Japo mamba Aina yoypte ni hatari mzee Haijalishi hata kama akiwa katokea Ukerewe kwa WajitaMadhara yakoje ukikutana nao, au wote ni wavunja viuno.
Simpendi kabisa huyu kiumbe aisee..
Hakika elimu haina mwisho. Nilikua sijui lolote kuhusu haya uliyoeleza na wala sikuwah kujua uwepo wa huyu aligator..sikuwahbjua kama baharini kuna mamba zaidi ya mitoni na maziwaniJapo mamba Aina yoypte ni hatari mzee Haijalishi hata kama akiwa katokea Ukerewe kwa Wajita
Ila kwa hao hapo juu
American Alligator (Alligator mississippiensis) sio mamba Ambaye anaweza Kukuvamia Bila kuchokozwa Ni mamba anayekwepa Sana Binadamu na Kuwaogopa Ila anaAttak pale anapopatwa na Stress yaani Kama akipata Tishio la kuhisi maisha yake yako hataruni Bhasi humuattak Mtu na kumdhuru..
Kwahyo ukimchokoza hana cha msalia mtume au Akichokozwa halafu wewe ukapita Mbele yake bhasi huna bahati
Ila
Nile Crocodile (Crocodylus niloticus) na Saltwater Crocodile (Crocodylus porosus..hawa wanavamia na kushambilia Bila kuchokozwa na Ni mamba wakali sana kuliko wote..
Sana sana Huyu Nile crocodile ni hatari sana huyu akisikia Harufu ya Binadamu kwenye maji atakimbia mpaka ampate
Wanaua vibaya sana hawa viumbeJapo mamba Aina yoypte ni hatari mzee Haijalishi hata kama akiwa katokea Ukerewe kwa Wajita
Ila kwa hao hapo juu
American Alligator (Alligator mississippiensis) sio mamba Ambaye anaweza Kukuvamia Bila kuchokozwa Ni mamba anayekwepa Sana Binadamu na Kuwaogopa Ila anaAttak pale anapopatwa na Stress yaani Kama akipata Tishio la kuhisi maisha yake yako hataruni Bhasi humuattak Mtu na kumdhuru..
Kwahyo ukimchokoza hana cha msalia mtume au Akichokozwa halafu wewe ukapita Mbele yake bhasi huna bahati
Ila
Nile Crocodile (Crocodylus niloticus) na Saltwater Crocodile (Crocodylus porosus..hawa wanavamia na kushambilia Bila kuchokozwa na Ni mamba wakali sana kuliko wote..
Sana sana Huyu Nile crocodile ni hatari sana huyu akisikia Harufu ya Binadamu kwenye maji atakimbia mpaka ampate
Alligator mwenye mdomo mpana, crocodile mwenye pointed snout