Uchaguzi 2020 Upigaji kura kituo cha Kisauke B, Madale: Mawakala wa vyama wazuiwa kuingia kwa kukosa barua, CCM wadhibitiwa na Wananchi wakitaka kupewa upendeleo

Mbinu ya kivita hiyo mkuu,unaona wote wametolewa mpaka sisiemu unashangilia wakati hujui nini kinaendelea huko ndani,ungejua kinachoendelea ndani ungesikitika sana
 
Sijajua kun tatizo gani na hawa wakurugenzi. Inakuaje wakurugenzi hawatoi barua za utambulisho kwa mawakala. Mtendaji wa kata anahusika vipi kwenye kutoa utambulisho wa mawakala. Tanzania hatuna Tume kabisa
Mi ni wakala wa chadema ila huku tabata kituo ninachosimamia mawakala wa CCM wamekuja hawana barua ila wakakataliwa kuingia but wameletewa toka kata
 
Mi ni wakala wa chadema ila huku tabata kituo ninachosimamia mawakala wa CCM wamekuja hawana barua ila wakakataliwa kuingia but wameletewa toka kata
Vipi nyie wa Chadema mna barua za utambulisho?
 
Muwe mnaweza na video za matukoi haya maana kwa sasa JF ndio mbadala wa twitter, facebook, youtube and younameothers....
 
Umefurahi sasa wakati ndo nyama kaachiwa fisi peke yake bila ulinzi
 
Iyena iyena tayari huku

Tutawachapa kwenye udiwani
Tutawachapa kwenye ubunge
Tutawachapa kwenye Urais

Amusitedamu wea ayu we aa kufaring
Mtajibeba leo utopolo wa lumumba! Watu na mahaba yao kwa chadema, dikteta lazima arudi chatto au aende ICC
 
Mawakala wengi wa vyama vya siasa hawana barua, unasimamiaje uchaguzi huna barua na huna kitambulisho cha tume?
Hawajkosa baruwa kwa bahati mbaya. Imeratibiwa na CCM ili wastekeleze jukumu lao na CCM wapate mwanya wa kufanya watakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…