Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Nani kasema....??? Mimi kwenye harusi yangu mezan waniwekee kvant kama zote...na nazipiga vizuri siogop baba mkwe wala mjomba mkweDawa yao ni kuwaambia wahudumie ile meza kuu pekee (yenye bibi na bwana harusi).
Watabaki wanapiga vigelegele tu maana wale watu hua hawanywi sana.
Ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kunywa hicho kinywaji. By the way mimi sio mnywaji kivile na sinywi pombe kali siku hiyo nilitewa zawadi home nikasema ngoja nijaribusasa hiyo hali ni hangover, au utajiri, mali, malupulupu na bati, ndo mtaji mkubwa. Haukula vizuri kaka
Achana na shughuli za pombe send off kiwepo chakula tuKuna ukumbi unaitwa Bridge Stone tangibovu ukiwa na harusi pale au sendo off, inabidi kua makini na wahudumu wale sita unaopewa,
Tokea nizaliwe sijawahi kuona wezi wa vinywaji kama pale. Wanapewa oda hawapeleki, kweli mtu anaiba kreti sita za bia.
Mleta mada mwenyewe Mwizi wasingeiba Angeiba kupeleka grocery yake au kuuza groceryAiseee wabongo na biashara za ujanja janja
ukapige show vizuri ndo raha ya konyagiNani kasema....??? Mimi kwenye harusi yangu mezan waniwekee kvant kama zote...na nazipiga vizuri siogop baba mkwe wala mjomba mkwe
Hakuna siku niliumia nilichangia harusi pesa ndefu na ndio harusi niliwahi changia pesa ndefu sana maana ilikuwa ya rafiki yangu wa karibu.
Nafika kwenye harusi kuna juice na soda tu kwasababu baba bi harusi ni askofu.
Kumbe wanywa ulabu ilikuwa inabidi utoke nje kwenye bar hapo unaonyesha kadi unapiga za kutosha.
Nimekuja kujua mwishoni wakati harusi imeisha roho iliniuma na watu wengi hawakwenda walikuwa hawajui kama mimi.
[emoji27][emoji27][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halafu bwana harusi anaondoka na nini!Siku nyingine unakunywa hata konyagi ndogo, inakuondoa uoga unaondoka na bibi harusi
Usijaribu utakuja tongoza MC kwa kutumia kipaza sauti chake kisa anaongea vizuri , bwana harusi tulia.Nani kasema....??? Mimi kwenye harusi yangu mezan waniwekee kvant kama zote...na nazipiga vizuri siogop baba mkwe wala mjomba mkwe
Yaani mie huwa nashangaa kweli ,kuna watu ni wezi jamani mie nikabebe nyama za Wizi toka kawe -buza kama ni umasikini basi ni upuuzi tuHizi njaa mbaya sana!
Ikifikaga wakati wa chakula maharusini wapakuaji wanajitahidi kukibania chakula hasa nyama za kuku za kukaanga ili zibakie baadae wapelekee familia zao
Hivyohivyo kwenye juice za box..
Hivyo vitu viwili ndio roho zao!!
anaondoka na dhambi zake[emoji27][emoji27][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halafu bwana harusi anaondoka na nini!
Haaaaa haaaaanaondoka na dhambi zake
huon kama ndio itakuwa vizuri...maana wengi watajua utani..ila baada ya shughuli nakazia point...kimasihara hivi hivi tunda litaliwaUsijaribu utakuja tongoza MC kwa kutumia kipaza sauti chake kisa anaongea vizuri , bwana harusi tulia.