Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habari JF.
Kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya 6.
Hali ni mbaya ktk kila idara na wizara, mashirika na mamlaka mbalimbali.
Ziara za waziri Mkuu na mawaziri wengine yanaibua madudu mbalimbali.
Uporaji upo ilihali Rais yupo, Waziri Mkuu yupo, mawaziri wapo,Ma RC wapo, MaDC wapo, MaDED wapo, TAKUKURU ipo nk.
Kwanini wizi wote huu?
Nini kifanyike?