Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Una uhakika Hali Ni mbaya kila idara?Habari JF.
Kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya 6.
Hali ni mbaya ktk kila idara na wizara, mashirika na mamlaka mbalimbali.
Ziara za waziri Mkuu na mawaziri wengine yanaibua madudu mbalimbali.
Uporaji upo ilihali Rais yupo, Waziri Mkuu yupo, mawaziri wapo,Ma RC wapo, MaDC wapo, MaDED wapo, TAKUKURU ipo nk.
Kwanini wizi wote huu?
Nini kifanyike?
Habari JF.

Nini kifanyike kivipi? Nyie endeleeni na swagwa za nini Kifanyike, Bila kuachana na Uzezeta mtapigwa sanaHabari JF.
Kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya 6.
Hali ni mbaya ktk kila idara na wizara, mashirika na mamlaka mbalimbali.
Ziara za waziri Mkuu na mawaziri wengine yanaibua madudu mbalimbali.
Uporaji upo ilihali Rais yupo, Waziri Mkuu yupo, mawaziri wapo,Ma RC wapo, MaDC wapo, MaDED wapo, TAKUKURU ipo nk.
Kwanini wizi wote huu?
Nini kifanyike?
Tuondokane na CCM mara moja.Habari JF.

Uzezeta upi, hatukuwaambia waibeNini kifanyike kivipi? Nyie endeleeni na swagwa za nini Kifanyike, Bila kuachana na Uzezeta mtapigwa sana
NdiyoUna uhakika Hali Ni mbaya kila idara?
Weka ushahidi wa mradi mmja tuu ambao Pesa zimepigwa na haujakamilikaNdiyo
Watu wanakula urefu wa kamba tu qmmanaeHabari JF.
Kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya 6.
Hali ni mbaya ktk kila idara na wizara, mashirika na mamlaka mbalimbali.
Ziara za waziri Mkuu na mawaziri wengine yanaibua madudu mbalimbali.
Uporaji upo ilihali Rais yupo, Waziri Mkuu yupo, mawaziri wapo,Ma RC wapo, MaDC wapo, MaDED wapo, TAKUKURU ipo nk.
Kwanini wizi wote huu?
Nini kifanyike?
WACHA WATU WAJIPIGIE TANGANYIKA SHAMBA LA BIBI NA ISITOSHE KATIBA ILIYOPO INARUHUSU IPIGAJI CCM OYEEHabari JF.