Joh97
New Member
- Sep 6, 2022
- 2
- 0
Kwa sasa Tanzania tuna mashirika makubwa sana ya misaada na mashirika hayo lengo lao kubwa zaidi ni kutoa misaada mbali mbali.
Mfano IDWF (international domestic workers federation) nimelisemea shirika hili kwasababu nimewahi kufanya makala inayohusu misaada wanayotoa kwenye jamii ila cha ajabu zaidi misaada inayotoka ni ya mchongo kabisa na upigaji wa wazi wazi bajeti ya IDWF kwa mwezi katika bara la africa ni dola milioni 400 Tanzania inapokea dola milioni 100.
Kwasababu ya uchumi wetu lakini viongozi wanachokifanya ni kutengeneza makala fupi zinaombatana na picha na video na kuwapa rushwa wahusika waseme changamoto zao udanganyifu wa wazi wazi lengo lao ni kutuma hizo makala makao makuu yao kuonyesha kwa nchi yetu misaada inafika vyema bila tatizo lolote lakini uhuni umejaa sana sikuhizi na siyo shirika moja yapo mashirika mengi pia uhuni kama huu unafanyika lakini sijawahi kusikia serikali yenyewe ikifanya uchunguzi juu ya haya mambo yanayo endelea misaada inaletwa kwaajili ya wananchi wasiyojiweza. Na ndomaana ya msaada lakini haifanyiki hivyo.
USHAURI:
Niombe Serikali ya jamuhuri ya Tanzania kufanya uchunguzi juu ya haya yanayo endelea kwenye hizi taasisi tunakuwa na wimbi kubwa la umasikini kumbe tunaweza kudhibiti haya yanayoendelea yanakwamwisha sana maendeleo ya nchi.