Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji wa punyeto au kujichua hupunguza sana nguvu za kiume na hata kuua kabisa nguvu hizo za kiume. Ni jambo ovu na hatari kabisa kwa afya ya mwanaume...
Je, na mwanaume mwenye tabia ya kubambia wanawake kwenye vyombo vya usafiri vilivyojaza abiria au kwenye mikusanyiko kunapunguza nguvu za kiume?..je kubambia ni kitendo cha punyeto pia?
 
Upigaji wa punyeto au kujichua hupunguza sana nguvu za kiume na hata kuua kabisa nguvu hizo za kiume. Ni jambo ovu na hatari kabisa kwa afya ya mwanaume...
Naomba pia madhara ya kubambia.

Asanteni
 
Mimi Binafsi nilianza kupiga hii Kitu miaka ya 2009 kisa ni zile story zinazopatikana kwenye magazeti ya Sun ya kipindi kile. Nikawa hata nikimtia dem lazima nimalizie na Puchu moja ndiyo nakua nmeridhika. Ila nikawa naona mabadiliko kidogo sana ikiwemo:-
  • uwezo wa kushika vitu kichwani ukapungua sana, (napoteza kumbukumbu ndani ya dakika chache sana hazizidi mbili)
  • uwezo wa kuongea mbele za watu ukayeyuka (nilikua na uwoga sana kuongea mbele za watu),
  • nikawa napatwa na hali ya Kuchapia nikiwa naongea yaani hata kama naongea sentensi fupi tu nachapia,
  • nikiwa namtia mwanamke siwezi kukojoa mpaka nimfikirie dem wa kwenye magazeti (wema, uwoya, masogange nk),
  • mashine kuchelewa kusimama na ikisimama hata ikikojoa hailali mpaka nipige nyeto,
  • kuanza kunuka Vikwapa hata nikioga yaani likitoka jasho kidogo tu linanuka kwapani vibaya mno
  • nikiwa geto peke yangu bila kujali muda nawaza kupiga nyeto tu na lazima nitapiga.

Hata baada ya kuoa miaka ya elfu mbili na kumi na kitu nilikua naendelea kupiga nyeto, mpaka ilipofika mwaka 2020 nikaacha baada ya kuona madhara ya kisaikolojia yalikua yananizidia yaani nilikua napoteza kumbukumbu, uwezo wa kuongea maneno kwa mpangilio mbele ya Viongozi wangu ulipungua yaani ni kama nilikua naelekea kwenye UCHIZI.
Nikaacha hiyo kitu mwaka 2020 mwezi wa Nane na mpaka leo hii sijapiga kabisa na ninaendelea kuimarika hasa kwenye kumbukumbu, uwezo wa Kujiamini, LAKINI HAKUNA MADHARA YA KULEGEA UUME ENDAPO NAKUTANA NA MWANAMKE ANAYENIVUTIA.
 
UONGO

duuu
 
Uongoo mtupu
 
Sawa Mkuu, mimi sio mtaalam wa Afya lakini nimekumbwa na hayo kutokana na Puli. Kwahiyo kama wewe haukupatwa na hayo tueleze yako
Ayo ni matatizo yako binafsi Nyeto umeitumia tu imekuwa nyezo tu ya kuongeza ayo matatizo yako.

Binafsi napiga nyeto tangia 2010 na niko mentally and physically fit. Nyeto ni nature ya wanyama wengi kujishika shika pale anakuwa ana hisia akiendelea kujishika lazima amwage. Ko ni nature iyo

Lakini umepewa akili Fanya jambo kwa kiasi, kula vizur, tunza afya yako. Kama unapiga nyeto basi piga kwa kiasi na kama unafanya ngona kadhalika fanya kwa kiasi

Uku duniani kila kitu kina madhara kutokana na mtu mtu na namna unavokitumia, ndo maana wewe unatumia sukari haikuletei shida ila kuna mtu amemyimwa kutumia sukari. Lkn haifanyi Sukari iwe mbaya kisa wewe imekuletea madhara wengine wataendelea kutumia kwa kiasi kinachotakiwa na wasipate madhara yeyote
 
Back
Top Bottom