COMPTON BLVD
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 682
- 615
Hahaaa!
Kuna Mchungaji alinipa simu yake akaniambia "Kijana nasikia kuna video za ajabu katika ulimwengu huu, tuweke vocha na mimi nizione."
Nikamuuliza, "Video zipi mzee?" Huku nikijua anachotaka,akasema zile wanafanya mambo ya ajabu.Nikamwambia anunue vocha za elfu mbili Voda.
Tukaweka vocha na kuanza kucheck madude kwenye website ya Phonerotica.Mzee akaniambia "Weka hizi kwenye simu nikihitaji nitakuwa naangalia." Alifurahi sana.
Mpaka tunaachana mzee alikuwa amenikabidhi buku.
Mkuu hata mimi nakumbuka miaka ya 2016,nikiwa Mbeya kwa sasa ni Songwe wakati huo kuna zile simu za Ku slide na kukunja.Huyu mwana haelewi[emoji23][emoji23] watu wanaenda kanisani huku mzigo uko unaendelea kudownload akimaliza kusali anarudi gheto kuangalia...
Hadi wachungaji wanaangalia sana hizi video.
Kuna mtu tunaheshimiana sana alinipa simu yake nimuangalizie kitu mtandaoni naingia kwenye browser history nakuta website ambazo hata mimi sijawahi kuziona za pilau..
Nilichofanya ni kuzicopy hizo website kwa matumizi ya baadae