Upigaji unaanza mdogo mdogo unaangaliwa likibuma inaundwa kamati ya uchunguzi

Upigaji unaanza mdogo mdogo unaangaliwa likibuma inaundwa kamati ya uchunguzi

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Huu upigaji unaanza hapa mdogo mdogo ,kama hawana habari mwisho wa siku atajifanya anatokea mbunge mmoja anaibua kashfa ya upigaji.

Spika atakurupuka anaunda kamati ya uchunguzi, na kamati inatumia pesa za walipa kodi.

Tuwe macho huu ni upigaji hatujaona wizara za mambo ya nje zikajikita kwenye biashara.

Ikiwa ya mwendokasi na bandari zinawashinda kusimamia!

Screenshot_20240619_061548_X.jpg
 
Back
Top Bottom