kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Jun 19, 2024 #1 Huu upigaji unaanza hapa mdogo mdogo ,kama hawana habari mwisho wa siku atajifanya anatokea mbunge mmoja anaibua kashfa ya upigaji. Spika atakurupuka anaunda kamati ya uchunguzi, na kamati inatumia pesa za walipa kodi. Tuwe macho huu ni upigaji hatujaona wizara za mambo ya nje zikajikita kwenye biashara. Ikiwa ya mwendokasi na bandari zinawashinda kusimamia!
Huu upigaji unaanza hapa mdogo mdogo ,kama hawana habari mwisho wa siku atajifanya anatokea mbunge mmoja anaibua kashfa ya upigaji. Spika atakurupuka anaunda kamati ya uchunguzi, na kamati inatumia pesa za walipa kodi. Tuwe macho huu ni upigaji hatujaona wizara za mambo ya nje zikajikita kwenye biashara. Ikiwa ya mwendokasi na bandari zinawashinda kusimamia!
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Jun 19, 2024 #3 Naunga mkono hoja. Tumetengeneza Taifa la wajanja wajanja wachache wanapiga hela kisha wanasikilizia mtasemaje!
Naunga mkono hoja. Tumetengeneza Taifa la wajanja wajanja wachache wanapiga hela kisha wanasikilizia mtasemaje!
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Jun 19, 2024 #4 Nakumbuka kabla ya siku zake mia, tulisema tusishangilie bado mapema haya sasa ndiyo safari yenyewe hii.
Nakumbuka kabla ya siku zake mia, tulisema tusishangilie bado mapema haya sasa ndiyo safari yenyewe hii.
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Jun 19, 2024 Thread starter #5 Bila bila said: Naunga mkono hoja. Tumetengeneza Taifa la wajanja wajanja wachache wanapiga hela kisha wanasikilizia mtasemaje!! Click to expand... Sio poa kabisa...!
Bila bila said: Naunga mkono hoja. Tumetengeneza Taifa la wajanja wajanja wachache wanapiga hela kisha wanasikilizia mtasemaje!! Click to expand... Sio poa kabisa...!