Wakuu nawasalimu, Nilienda zahanati moja kupata chanjo ya homa ya ini! Kwanza waliambia lazima nipime homa ya ini!!
Wakanitoa damu, katika kupima kule akapima na HIV kwani nilimwona anatoa test kit za HIV na kupima...
Majibu yalikuwa negative kwa vipimo vyote hivyo nikachomwa sindano nikasepa!!
Swali : 1. Je kuna ulazima wa kupima HIV katika kuchoma kinga ya homa??
2. Kwa HIV positive hawachomwi hiyo kinga!??