Upimaji homa ya ini

Upimaji homa ya ini

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
602
Reaction score
969
Wakuu nawasalimu, Nilienda zahanati moja kupata chanjo ya homa ya ini! Kwanza waliambia lazima nipime homa ya ini!!
Wakanitoa damu, katika kupima kule akapima na HIV kwani nilimwona anatoa test kit za HIV na kupima...
Majibu yalikuwa negative kwa vipimo vyote hivyo nikachomwa sindano nikasepa!!


Swali : 1. Je kuna ulazima wa kupima HIV katika kuchoma kinga ya homa??
2. Kwa HIV positive hawachomwi hiyo kinga!??


Sky Eclat
 
Habari njema sana hii mkuu.

Bora sasa una uhakika wa afya yako , Magonjwa hatari yote hayajakufikia.

Ngoja wajuvi wa haya mambo waje utapata faida zaidi.
 
Hivi hilo gonjwa mbona linaanza kuwa tishio mpaka chanjo tena? Au ni biashara za watu hapa tunachezeana michezo michafu
 
Back
Top Bottom