Upimaji macho bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeee

PowerWithin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
646
Reaction score
501
Wadau!

Hii nimeinyaka pande za barabara ya ali hassan mwinyi karibu kabisa na dar free market.

Ipo hivi. Pale karibu na dar free market kuna kitu kama onyesho fulani hivi la mambo ya miwani; sasa kuna taasisi moja inaitwa brienholdenvisioninstitute wakishirikiana na toa (tanzania optometrists association) wamedhamini lauch ya KIBO EYE WEAR inayofanyika pale karibu na viwanja vilivyopo karibu na dar free market.

Ukifika pale unapewa voucher ambayo utatumia kupimwa macho bure kwenye eye clinics ambazo nitazitaja hapo chini.

Oyaaaaaaaaaaaa kama upo karibu please njoo jichukulie voucher yako fastafasta!
 
Offer ni kuanzia leo tar 4 hadi 11 april.

Eye clinics ni hizi hapa chini

1.Upanga eye clinic - dar ipo pale karibu na muhimbili hospital
2.Ilala eye clinic - ipo dar
3.Morocco eye clinic - ipo dar
 
Zingine hizi hapa

4. Sinza family eye clinic - ipo dsm
5. Vision care eye clinic - ipo dar
6. Eye line optometrists - ipo dar
 
7. Grand optics - ipo dar

8.Vision care - ipo Arusha
9. Ona Sight centre - ipo dodoma

Hizo ndio clinics shiriki. Nitaendelea kuwapa updates ndogondogo
 
Kaka hyo dar free market iko opposite na wapi wengine hatujui hayo maeneo vzur
 
Kaka hyo dar free market iko opposite na wapi wengine hatujui hayo maeneo vzur

Ipo pale kati ya ofisi za dstv na kenyan embassy. Km unatoka posta ama kkoo shuka kituo cha ubalozini(france embassy); then upande wa pili wa road kuna jengo lina ofisi za kcb bank na resolution insurance hapo mbele kidogo mita chache hv kuna taxi cabs zimepaki pale; ni hapo hapo mkuu
 
Duuu naona kbo eye wear wamenipa t shirt ya bure; rangi ya njano hv sijui chungwa i dont know colours kwa kweli. Ila t shirt nzuri tu haina kwere
 
Duuuuu kumbe gharama ya kupima macho ni hivi: optometrists - sh 10,000 opthalmologists - sh 25,000. Lkini kwa voucher hii no single thumni.......duuuuu watu wana save 35,000 tzs na wikiendi hii ilivyo mkakis duuuuuuu sio mbaya maisha ni pesa sio elimu (ama sorry kwa wasongo) japo naamini kusoma ili upate hela kama umesoma huna hela....to hell with your elimu(samahanini jamani ibara ya 18 ya katiba inaruhusu freedom of speech na hata kuamini pia)!
 
Nasikia mgeni rasmi ni mkuu wa wilaya....sijui kino ama ila ama teme....not sure!!!!!!!!
 
Thread hii natambaa nayo mwenyewe hadi mwisho i know i will save some sights of our beloved brothers and sisters........sijui glaucoma, cataract, diabetic upovu sijui......mambo mengi!!!!!!!
 
Noana kuna entertainment watoto wa dar kwa hela hawajambo....wanakata ma.ta.ko juani ile mbayaaaaa si helaaaaaaaaaaa..........naona pia kuna wasanii ila hawa ni undergrounds bila shaka, ile timu bazazi no kuja huku maana watoto ni wakaliiiiiiiiii ile balaaaaaaaaa.....viunoooooooooooo tu chini ya surauali yangu imetuna sijui kwa nini.....ila uasherati mbaya sana!
 
KIBO EYE WEAR ndio wanaosimamia hii show mwanzo mwisho....kumbeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
Naona dars nikimaanisha watu wa dar wameshafika wanasubiri kupewa hizo voucher na balh blah zingine like elimu ya macho na other associating diseases km kisukari hivi........i wish i could have such kind of optometric glance.......think ningekula hela....kupima sh. 10,000 per kichwa sio haba!!!!!!!
 
Naona money opportunities hapa:

watengenezaji banners, flyers, business cards naona harufu ya mchongo plz jongeeni mjinadi kimyakimya ila tahadhari wasikuisikie wenyewe maana hii show ni kwa ajili ya elimu ya macho tu.....lakini dars i trust you...you always live above the laws...so hii sio case kubwa kwenu.....nyie ni wapindishaji wa kila kitu cha uongo na cha kweli........to hell dars!!!!!!!
 
Leo wikiendi yangu namalizia hapa......hela naona leo zinazingua kiaina nimeingiza hela ya voucher this morning......thanks my God!!!!!!, hope tomorrow i will see His blessings! To AL MIGHTY GOD I STAND TO BE UNDER YOUR FULL GUIDANCE IN SEARCHING FOR MONEY!!!!!!! AMEN.
 
Wanafanya mahojiano na KIBO EYE WEAR labda itakuwa kwenye headlines za local tv zetu may be!!!!!
 
Wakazi wa kinondoni wameshaingia kwa fujo sana..........wataondoka na voucher zao bila shaka!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…