PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Wadau!
Hii nimeinyaka pande za barabara ya ali hassan mwinyi karibu kabisa na dar free market.
Ipo hivi. Pale karibu na dar free market kuna kitu kama onyesho fulani hivi la mambo ya miwani; sasa kuna taasisi moja inaitwa brienholdenvisioninstitute wakishirikiana na toa (tanzania optometrists association) wamedhamini lauch ya KIBO EYE WEAR inayofanyika pale karibu na viwanja vilivyopo karibu na dar free market.
Ukifika pale unapewa voucher ambayo utatumia kupimwa macho bure kwenye eye clinics ambazo nitazitaja hapo chini.
Oyaaaaaaaaaaaa kama upo karibu please njoo jichukulie voucher yako fastafasta!