PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
- Thread starter
- #21
ITV wanafanya yao hapa.........wanachukua video ya kila eneo na uwakilishi wowotw pale hata sie wa kino kama kawaida....samahani Skype, na Chabruma mwenzenu katiba mpya inanizingua i dont see any future as green asa i used to drem of....nipo kwenye vishow vidogo vidogo km hv najiliwaza.....tz sio nchi ya kuishi ni nchi ya kuchuma na kwenda kuishi mbali....huko sijui wapi!!!!!
Last edited by a moderator: