- Thread starter
- #21
Cheki NimekutumiaMawasiliano yako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki NimekutumiaMawasiliano yako mkuu
Sasa si tunajadiliana?Duuuu still ujanielewa mkuu rudia kupitia vizuri maelezo
Apa khs MGOGOLO it's another sensitive case na apapimwi mpaka kujilizisha Kama suruhisho ilipatikana.Sasa si tunajadiliana?
Tuelekezane process nzima Ili baadae kusije kuwa na matatizo.
1. Reconnaissance, kama hakuna TP unaongea na planners. Kama Kuna TP unaongea na surveyors.
2. Kabla ya kupima kwa
ajili ya TP au survey unahitaji idhini ya mkurugenzi wa wilaya/mji/Manispaa. Ili update idhini, Kuna vikao vya mtaa/Kijiji halafu kamati ya maendeleo ya kata.
3. Kujaza forms za kuainisha majirani na sahihi zao.
4. Kupata idhini ya upimaji na ramani wilayani/Manispaa yaani wewe kupew survey instructions na data access.
5 . Sasa hapo ndiyo utaenda kiwanjani na vifaa vyako. Kuchukua vipimo.
Ukisema tu kuwa kama Kuna TP tunapima. Je, ukienda eneo lenye mgogoro? Si itakuwa trespassing?
Kuepusha utapeli, tutajie process zote zinazohitajika.
You can't just go somewhere eti kwa sababu tu mtu kakwambia ni kwake.
Naomba namba yako.Apa khs MGOGOLO it's another sensitive case na apapimwi mpaka kujilizisha Kama suruhisho ilipatikana.
Ardhi yenye mgogolo aipimwi mpaka mgogolo uishe kwa pande zote mbili kwa kuafikiana au kwa njia nyengine yenye kuleta suruhisho...ndio mana tunafanya reconaisance(site visit) lengo kutambua Kama Kuna dalili ya mgogolo...bt ardhi yenye mgogolo aipimwi mpaka ujiridhishe kuwa mgogolo umeisha...
Nazani khs vitu vingine upo sahihi we share same idea