Sasa si tunajadiliana?
Tuelekezane process nzima Ili baadae kusije kuwa na matatizo.
1. Reconnaissance, kama hakuna TP unaongea na planners. Kama Kuna TP unaongea na surveyors.
2. Kabla ya kupima kwa
ajili ya TP au survey unahitaji idhini ya mkurugenzi wa wilaya/mji/Manispaa. Ili update idhini, Kuna vikao vya mtaa/Kijiji halafu kamati ya maendeleo ya kata.
3. Kujaza forms za kuainisha majirani na sahihi zao.
4. Kupata idhini ya upimaji na ramani wilayani/Manispaa yaani wewe kupew survey instructions na data access.
5 . Sasa hapo ndiyo utaenda kiwanjani na vifaa vyako. Kuchukua vipimo.
Ukisema tu kuwa kama Kuna TP tunapima. Je, ukienda eneo lenye mgogoro? Si itakuwa trespassing?
Kuepusha utapeli, tutajie process zote zinazohitajika.
You can't just go somewhere eti kwa sababu tu mtu kakwambia ni kwake.