Upinzani acheni agenda ya Urais: Jitahidini kupata viti vingi vya wabunge. Wingi wa wabunge bungeni, wewe ni "RAIS", maamuzi ya ndiooooooooo yatakoma

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!

Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undergo impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
 
Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii! Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita! Hakuna sheria mbovu zitapita etc! Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undego impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria kama anavyofanya sasa!
Haya tumekusikia mpiga debe wa Saccos ya Mh. MBOWE!
 
Upinzani upi ndugu?

Au unazungumzia upinzani huu unaosubiri embe lianguke waokote wakaliuze badala ya wao watumie mti wao kuzalisha maembe! Wanategemea wa jirani.

Si leo Sasa!
 
Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii! Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!

Hakuna sheria mbovu zitapita etc! Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undego impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
 
Attachments

  • 106545812_748382385967170_1938844279074260719_n.mp4
    967.9 KB
Huo ushauri kawape CCM sisi tunawaza kuchukua nchi.
Kuupata urais is an uphill battle! difficult to fight with the "simple" ammunitions you have! But parliamentary seats can be won easily with the right strategies!
 
Tatizo ni pale mwananchi anapofikiri mwanasiasa yupo pale alipo kwa ajili ya masilahi ya mwananchi na kwamba anaumiza kichwa kwa ajili yake.
 
Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!

Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undergo impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
CCM wamedhamiria kutumia dola kuchukua majimbo yote hata kama wengine watashinda na bado watanzania tunaona sawa tu.
 
Rais wa nchi yetu katiba imempa mamlaka ya kuvunja bunge.

Katiba imempa uwezo wa kua na kauli ya mwisho katika kila kitu.

Pia kwa system yetu ombi la rais ni amri.

Anaweza kuteua wabunge na kuwapa uwaziri.

Muswada mpaka uwe sheria ni mpaka usainiwe na rais.

Sioni ubunge utamzuia vipi rais kuishi juu ya katiba.
 
Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!

Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undergo impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
Hakuna nyota CCM mtaacha ona mwaka huu. Waweke nguvu kwenye wabunge ambapo raisi anaweza kulivunja bunge muda wowote akijiskia???
Waweke nguvu zao kwenye wabunge ambao mnawatisha na kuwahonga kuunga mkono juhudi kila kukicha???

Mwaka huu nyoka anapondwa kichwani. Nguvu ya umma inaamua kuanzia uraisi hadi ubunge.
 
Hakuna nyota CCM mtaacha ona mwaka huu. Waweke nguvu kwenye wabunge ambapo raisi anaweza kulivunja bunge muda wowote akijiskia???
sidhni kma atathubutu kulivunja maana anajua fika akilivunja hatarudi! Nguvu ya umma inafanya kazi sana, wasiwasi wangu ni hapa Tanzania kuwa tuko tayari kufa? anapigwa risasi mbele yako, unasonga mbele, unakanyaga maiti za wenzako kulinda sanduku la kura lisibebwe! Hofu yangu ni hiyo!
 
Ipo siku na haiko mbali. Watu hawataogopa risasi wala mabomu
 
Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!

Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undergo impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
Urais wamwachie chinjachinja, Nduli?
 
Back
Top Bottom