Haya tumekusikia mpiga debe wa Saccos ya Mh. MBOWE!Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii! Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita! Hakuna sheria mbovu zitapita etc! Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undego impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria kama anavyofanya sasa!
Saccos ya MBOWE ni basi la kwenda wapi?Haya tumekusikia mpiga debe wa Saccos ya Mh. MBOWE!
Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii! Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!
Hakuna sheria mbovu zitapita etc! Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undego impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
Kuupata urais is an uphill battle! difficult to fight with the "simple" ammunitions you have! But parliamentary seats can be won easily with the right strategies!Huo ushauri kawape CCM sisi tunawaza kuchukua nchi.
Those are your wishes not realities!Asilimia 80 ya majimbo yote ya vyama vingine yatarudi lumumba .
CCM wamedhamiria kutumia dola kuchukua majimbo yote hata kama wengine watashinda na bado watanzania tunaona sawa tu.Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!
Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undergo impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
Hakuna nyota CCM mtaacha ona mwaka huu. Waweke nguvu kwenye wabunge ambapo raisi anaweza kulivunja bunge muda wowote akijiskia???Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!
Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undergo impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
sidhni kma atathubutu kulivunja maana anajua fika akilivunja hatarudi! Nguvu ya umma inafanya kazi sana, wasiwasi wangu ni hapa Tanzania kuwa tuko tayari kufa? anapigwa risasi mbele yako, unasonga mbele, unakanyaga maiti za wenzako kulinda sanduku la kura lisibebwe! Hofu yangu ni hiyo!Hakuna nyota CCM mtaacha ona mwaka huu. Waweke nguvu kwenye wabunge ambapo raisi anaweza kulivunja bunge muda wowote akijiskia???
impeachment!Sioni ubunge utamzuia vipi rais kuishi juu ya katiba.
Ipo siku na haiko mbali. Watu hawataogopa risasi wala mabomusidhni kma atathubutu kulivunja maana anajua fika akilivunja hatarudi! Nguvu ya umma inafanya kazi sana, wasiwasi wangu ni hapa Tanzania kuwa tuko tayari kufa? anapigwa risasi mbele yako, unasonga mbele, unakanyaga maiti za wenzako kulinda sanduku la kura lisibebwe! Hofu yangu ni hiyo!
Urais wamwachie chinjachinja, Nduli?Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!
Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undergo impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
Kisha?Asilimia 80 ya majimbo yote ya vyama vingine yatarudi Lumumba.
Kabla hamjamaliza impeachment anavunja bunge. Mtamfanya nini?impeachment!