Uchaguzi 2020 Upinzani agenda ya kushiriki uchaguzi mwakani ikoje?

Uchaguzi 2020 Upinzani agenda ya kushiriki uchaguzi mwakani ikoje?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mnajua fika kuwa kilichofanyika katika uchaguzi was serikali za mitaa kitarudiwa hivyo hivyo au na kuzidi. Mmejipangaje kukabikiana na hilo?

Nimemsikia Katibu was Baraza la wazee Chadema akisema walisusia uchaguzi wa serikali za mitaa kuweka ushahidi. Well and fine, acceptable! Sasa what is the next move maana CCM na Rais wao watafanya Yale Yale.

Mnachukua tahadhali gani? Mkiingia bila kuwa na uhakika wa haki kutendeka katika sanduku LA kura , 100% hamtapata mbunge/Diwani hata mmoja Tanzania nzima. Reference ni uchaguzi wa juzi.

Huyu jamaa kadhamilia "kuwaua". Tume huru ya uchaguzi? How do you move with that agenda from today, NOT tomorrow!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama watakubali kushiriki bila uwepo wa tume huru ya uchaguzi itakula kwao. Na pia wafahamu sisi wapiga kura wao hatutakuwa tayari kushiriki upigaji kura ambao tunajua fika hawatatangazwa washindi.
 
Kila siku huwa tunawaambia hapa kwamba badala ya kukesha kuiaminisha watu JPM ni dikiteta, hajui kingereza, haendi nchi za nje, anawaonea kina Rugamalila, kutetea uenyekiti wa kudumu wa Mbowe nk, juhudi kama hizo mngezielekeza kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.

Tuseme nini basi!? Upinzani hakuna nchi hii ila Kuna waganaga njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamdai nani? Huyo unayemdai yupo tayari kuruhusu kwa hiari? Kama la je raia mpo tayari kuidai kwa nguvu? Kazi ya kiongozi ni kuonesha njia
Kila siku huwa tunawaambia hapa kwamba badala ya kukesha kuiaminisha watu JPM ni dikiteta, hajui kingereza, haendi nchi za nje, anawaonea kina Rugamalila, kutetea uenyekiti wa kudumu wa Mbowe nk, juhudi kama hizo mngezielekeza kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.

Tuseme nini basi!? Upinzani hakuna nchi hii ila Kuna waganaga njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnakalilishana sana mpaka mnasahau uchaguzi ni mwaka huu 2020 au utakuwa ume-edit taarifa ya mwaka Jana na ukasahau ku-edit heading. Yote kwa yote, mwenyekiti wa CCM taifa na katibu mkuu wa CCM taifa kwa nyakati tofauti wamezungumzia suala la wapinzani kususia chaguzi na kusema kususa pia ni demokrasia. Huo ni ukweli mchungu ,demokrasia si marazote iwe kubembelezana maranyingine demokrasia ni kinyume chake.

Tatizo wapinzani wamekosa watendaji wakuu wa chama wa kutoa dira na muelekeo wa chama kama ilivyo kwa CCM chini ya Dkt.Bashiru. wapinzani wamekuwa na kasumba ya kuona uchaguzi ni namba(wakijitokeza watu wengi kwenye kampeni wanaona ndio wapiga kura) , uchaguzi sio namba ni maamuzi ya umma kwa maana ya kwamba watu wameshafinya uamuzi Sasa hiyo namba unapatikana siku ya kupiga kura na sio wakati wa kampeni.
 
Kila siku huwa tunawaambia hapa kwamba badala ya kukesha kuiaminisha watu JPM ni dikiteta, hajui kingereza, haendi nchi za nje, anawaonea kina Rugamalila, kutetea uenyekiti wa kudumu wa Mbowe nk, juhudi kama hizo mngezielekeza kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.

Tuseme nini basi!? Upinzani hakuna nchi hii ila Kuna waganaga njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwajui hao? Hawana nia ya kushika madaraka bali survival
 
Back
Top Bottom