Tetesi: Upinzani baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara wamepewa maelekezo kuchafua legacy ya hayati John Pombe Magufuli

kuna kajikaratasi kokote ka ushahidi kidogo ?
 
Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa JPM wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.
Wanaotukana uongozi uliopita ni Ccm na chawa wao, upinzani hawafanyi huo uhuni.
 
Ajenda ya kuiponda moja kwa moja awamu ya tano kisiasa CDM watapoteza ushawishi kwa wananchi, nawashauri waume na kupulizia, yapo mazuri ya JPM na Mabaya yake, lazima wachambue kwa umakini hoja zao hususani zinazogusa JPM na kumtumia vizuri for political milage. Kwa sasa inaonekana ni ni centre of gravity and sensitivity, hata ndani ya CCM yenyewe kuhusu legacy yake. watumie mwanya huo kujijenga na kutoonyesha chuki ya moja kwa moja kwa JPM bali hapa hekima itahitajika sana. So far hayupo kujibu accussations, vinginevyo mabaya ya JPM yachukuliwe ni ya CCM kitaasisi kwa vile waliyabariki.
 
U may be right,

Kusimama jukwaani na kumtusi Magu bila kilevi ni Haiwezekani.
 
chadema punguzeni jaziba kwa jpm kashaondoka hayupo tena changanueni utawala wa sasa katika mambo mbalimbali ndiyo wananchi wengi wanataka kuona mnayasema na kuyakemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…