Upinzani copy demokrasia ndani ya CCM ili muweze Ku motivate vijana kuishi siasa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kuna siku nilitoa ushauri kwa chama cha CHADEMA kijiwekee mkakati wa muda mrefu kuliko kukabia juu kuanza kurushiana maneno haijengi chama.

Cha kufanya wawekeze office kila kijiji taratibu vijana wataanza kuamini wakiwa na nafasi wakila ndani.si unaona CCM wanavyotumia mbinu ya mtaji na watu wanaowaza kuwa viongozi wa kesho
 
Ndege jhon kadri unavyokua kimwili naona ukipungua kiakili
FB_IMG_17486260138529094.jpg
 
Ndege jhon kadri unavyokua kimwili naona ukipungua kiakiliView attachment 3390732
Chama gani kinaitisha maandamano ya nchi nzima cha ajabu mwenyekiti anajikuta peke yake magomeni means kwamba hakuna wanachama hai Bali Mashabiki.kukabia juu level za raisi hakutoi somo lolote hakubadilishi msimamo ya kisiasa kwa wananchi..yaani mwananch wa CCM kashaamua Tu kuwa CCM milele usifikiri iko siku atasema anahama CCM.mtaji mtaji nafasi nafasi
 
Ndio unashauri tuwaige CCM? Kwanini usishauri CCM wafuate sheria?
 
Chama gani kinaitisha maandamano ya nchi nzima cha ajabu mwenyekiti anajikuta peke yake magomeni means kwamba hakuna wanachama hai Bali Mashabiki.kukabia juu level za raisi hakutoi somo lolote hakubadilishi msimamo ya kisiasa kwa wananchi..yaani mwananch wa CCM kashaamua Tu kuwa CCM milele usifikiri iko siku atasema anahama CCM.mtaji mtaji nafasi nafasi

Punguza unafiki ewe chawa. Huo ni CHADEMA inavyopambana na dola?. Wamezuiwa kupata ruzuku, wamezuiwa kufanya shughuli za chama na Mwenyekiti wao yupo mahabusu siku ya 87 kwa kesi ya uhaini. Angalia mazingira waliomo CHADEMA baadala ya kutaka fantasy zako zitendeke. Ningekuona wa maana kama ungeadvocate ya kwamba vikwazo dhidi ya CHADEMA viondolewe na kuwepo na level playing field na sio huu ujinga wa Sasa.
 
Sawa assume mambo hayo wamepatiwa chadema yes wakae watengeneze mkakati mkuu.. office,database,sio harakati zisizo na mission ya kuongeza wanachama Hai
 
Kuna siku nilitoa ushauri kwa chama cha CHADEMA kijiwekee mkakati wa muda mrefu kuliko kukabia juu kuanza kurushiana maneno haijengi chama.

Cha kufanya wawekeze office kila kijiji taratibu vijana wataanza kuamini wakiwa na nafasi wakila ndani.si unaona CCM wanavyotumia mbinu ya mtaji na watu wanaowaza kuwa viongozi wa kesho
Kuchukua fomu si kushinda, subiri ndugu na watoto wa viongozi watakapoteuliwa kugombea.

Mpaka leo 75% ya Wagombea wa ccm waliochukua fomu ni ndugu, wake au wakwe ama wajomba na watoto wa viongozi.
.Mifano ni mke wa Kikwete na mwanaye, Pamoja na Waziri Ulega na Mkewe, ndugu wa Pinda na wengine kibao.

Unataka tuige haya?
 
Sawa assume mambo hayo wamepatiwa chadema yes wakae watengeneze mkakati mkuu.. office,database,sio harakati zisizo na mission ya kuongeza wanachama Hai
Uliloandika ni kweli tupu ila watakupopoa.

Ccm wanakita mizizi, cdm ni mitandaoni tu na wananchi ambao wana uelewa na wafatiliaji wa siasa.

Ccm inachota wengi kwa udhaifu huo wa cdm.
 
Back
Top Bottom