Upinzani haukubaliki kabisa vijijini

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
unadhani ni zipi hasa sababu za msingi za kutokukubalika na kuaminika kwa upinzani vijijini?

kwa ujumla wanapuuzwa sana vijijini, kwa mfano jimboni kwangu hawapo kabisa.

sidhani kama wanaweza kupata hata mwenyekiti moja wa kijiji. .

aliwahi kuwapo shoe shiner moja hapa ambae ndie alikua kiongozi wao, lakini hivi sasa amerejea nyumbani kuunga mkono juhudi za Dr Samia Suluhu Hassan,
dah πŸ’
 
Hakuna mtu mwenye akili Timamu awaunge watu wasio na sera wala ajenda zenye kugusa maisha ya watu. CHADEMA ni vigeugeu kama vinyonga. Leo watasema hivi na kesho kwa mdomo na ulimi ule ule utaona wanaongea vile . Wao wanachojali na kuzingatia ni maslahi ya Matumbo yao tu.
 
Shida ilianzia pale lisu alivyokuwa anamtukana mama kipenzi cha watu ndo wakawapuuza kabisa. Mama karudisha soko la mbaazi, korosho nk lililopotea enzi za jpm.
 
shogawewe unaweza ujinga tuu
 
Waacha wachague CCM, iliyowaletea utajiri kwa miaka 64...

inabidi wanasiasa wapinzani ifike muda wakubali "things have to get worse before they get better".

Nendeni mka-hibernate kwanza.
 
Ukweli ukiwekwa mezani jitahidi kua na heshima, mihemko, ghadhabu na matusi havisaidii kitu πŸ’

ninalo jukumu kubwa zito na muhimu sana la wanainchi huku jimboni na katika chama,
uniwaziali si muhimu sana, wengine wanaweza kufanya πŸ’
weebwege tuu
 
Mtaji wa CCM ni ujinga na umasikini wa watanzania,vijiji vyetu vimejaa umasikini,ujinga na maradhi,mapacha watatu hatari sana
 
Haiwezikani kwamba umeshatembelea vijiji vyote Tanzania. Bila shaka umepita baadhi ya vijiji tu, ambavyo havikupi uhalali wa kudai hivyo unavyosema. Mfano, kijijini kwetu hujawahi kufika, utawezaje kujua wanakijiji huku wanaunga mkono chama gani?
 
Endelea kujidanganya tu! Ila usidanganye wengine
 
Shida ilianzia pale lisu alivyokuwa anamtukana mama kipenzi cha watu ndo wakawapuuza kabisa. Mama karudisha soko la mbaazi, korosho nk lililopotea enzi za jpm.
kosa lilikuwa kumtukana Magufuli bila kuangalia audiance
 
kosa lilikuwa kumtukana Magufuli bila kuangalia audiance
No. Magufuli alipaswa atukanwe sana mana alizuia mikutano yote kinyume na katiba aliyoapiswa kwayo. Aliapa kwa katiba lakini akaichana chana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…