Uchaguzi 2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

Maono yamesema kama korona isingeondoka CCM wangeongeza miaka mitano mingine ya dezo kwa kisingizio cha hakuruhusiwi mikusanyiko. Inajulikana kuwa CCM na magunia yao mawili wanajuta kwa kujifanya dua zao zimekubaliwa na kujilabu Tanzania hakuna covid19,

Leo wanatamani kizuke japo kipindupindu waahirishe uchaguzi ,sema tu magufuli anajuta kuwa Raisi maana hana rafiki kama alivyo Ali hasani nae hana rafiki.

Sasa jiulize kwanini akitajwa ali hasani mwinyi wazanzibari wanasema laanatullah.
 
Sasa hivi ni nadra watu kuvaa kondomu, je ni Magufuli amesema ukimwi umeisha? Kuvaa barakoa sio kila mtu alikuwa anavaa kwa kuhofia huo ugonjwa, bali kuna sehemu ulikuwa huingii bila barakoa. Narudia tena mtatufute mtu anayejua Somo la ugonjwa wa mlipuko kisha uje uendelee na mjadala hapa.
 
Sasa kama wanawaabudu sana hao mabeberu watashindwaje kufungia watu ndani na akili yao kubwa wakishinda kutegemea wahisani
 
Peleka ujinga huko. Kwanza hata kuandika hujui!
Kuna hoja gani za Corona za kujibiwa na mtu yoyote let alone wapinzani.
Mnatumwa kutuletea mashudu tu humu. Ma threads ya kijinga sana.
 
Kama kashindwa kuweka wazi kwa wanachama wake kuwa anatarajia kurudi tena ubelgiji kama mwananchi wa kawaida atawezaje kuwa serious na anachokisema? Alikua anafahamu kabisa kwamba hana nafasi ya kushinda huu uchaguzi lakini kawachangisha watu pesa kwenye mikutano. Watu walikua hawajui kama walikua wanamchangia mtu pesa ya kwenda kuanza maisha mapya Ubelgiji
 
Tatizo kubwa la wapinzani wa nchi hii hawana hazina kubwa ya wanachama. Hivi kwa akili za kawaida unakua vipi na uhakika kwamba utadhinda, wakati robo tatu ya wapiga kura waliojiandikisha wote ni wanachama wa CCM.

Huna majimbo ya kutosha ambay una uhakika wa kushinda katika Ubunge. Mgombea wenu akifika sehemu kufanya kampeni anasahau kabisa kuwanadi Wagombea wake wa Ubunge. Anaishia kukashifu na kutoa kauli chafu.

Mjipange katika huu mwaka tukutane 2025, kwasasa Magufuli anatosha mara mia zaidi ya Mgombea wenu.
 
Hatimae mnakili kuwa Mungu ndiyo ameondoa Corona, lakini mlimpiga vita Magufuli aliposema makanisa yasifungwe watu wamuombe Mungu. Watanzania sio wajinga wanajua nini cha kufanya tarehe 28 October.
 
[emoji2][emoji2][emoji2] apotezee??? Wakati wanaeneza hizo propaganda walidhani zitawabeba kuelekea uchaguzi, sasa mambo yamekuwa tofauti, acha awabomoe tu wajifunze kufanya siasa Safi.
 
Kwani mie nabisha kuwa corona si ugonjwa wa mlipuko? nachotaka kujua ni kwamba corona(ugonjwa wa mlipuko) imeisha Tz au imepungua?
 
Ule ujinga aliofanya kwenye kuzuia matangazo ya corona ndio anatamba nao, inashangaza!
Hebu niambie nchi gani bado inatangaza idadi ya maambukizi on daily basis Kama ilivyokuwa awali? Magufuli aliona mbali Sana.
 
Usipochagua mbunge na diwani wa ccm hapeleki maendeleo eneo hilo,sasa hapo utasemaje habagui? Ingekuwa maendeleo hayana chama basi hata akiwepo mbunge wa Chauma bado atashirikiana nae kupeleka maendeleo kwa sababu maendeleo hayana chama.
Aise, Mungu huyo huyo mnayeamini hawezi ondoa Corona, ndo huyo mnamuomba awasaidie mshinde uchaguzi, Subirini adhabu yenu October 28.
 

WENYE UELEWA WANATAMBUA FAIDA GANI WAMEIPATA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO KATIKA UONGOZI WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI. KWA KAZI KUBWA AMBAYO KAIFANYA KUBORESHA KILA SEKTA NCHI NZIMA AMEVUKA LENGO NA WANAKIJIJI WANALIJUA HILO, MAANA WAMEFANYIWA MENGI AMBAYO YANA THAMANI ZAIDI YA HIZO MILIONI 50. KIUKWELI HAKUNA KIJIJI AMBACHO HAKINA SHULE, HUDUMA ZA AFYA LAKINI PIA HATA KATIKA MIRADI YA MAJI.

TUKIGEUKIA UPANDE WA UMEME TUMEONA UMEME KILA KONA VIJIJI ZAIDI YA ELFU TISA VIMEPATA UMEME WA UHAKIKA NA KUSALIA VIJIJI 2000'S
 
Huyu chakubanga alitusaidia nini ?
Kakimbilia chato kabisa kajificha kamwachia waziri umy kilakitu muoga kama mama yake.
Angeamua tufungiwe ndani unadhani maisha yangekuwa rahisi? Kuna watu wangekufa kwa njaa, maana Kuna wengine ili apate chakula cha siku ni lazima atoke akatafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…