antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Pia, aliahidi m50 kila Kijiji, kumbe ni ahadi HEWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mke wangu,nasubiria uniandalie lunch nzito.Umekunywa chai?
Nani alikwambia JPM alipambana na Corona?Metamjibu kwa kusema nini wakati plan yenu ya kupambana na corona ilibuma na yake ikafanikiwa? Siku zenyewe zimebaki 2 tu, no afadhali kupotezea kuliko kujiaibisha!
Kama kashindwa kuweka wazi kwa wanachama wake kuwa anatarajia kurudi tena ubelgiji kama mwananchi wa kawaida atawezaje kuwa serious na anachokisema? Alikua anafahamu kabisa kwamba hana nafasi ya kushinda huu uchaguzi lakini kawachangisha watu pesa kwenye mikutano. Watu walikua hawajui kama walikua wanamchangia mtu pesa ya kwenda kuanza maisha mapya UbelgijiBasi ndiyo mjue yote yanayosemwa na Chadema ni siasa tu. Hakuna wanachomainisha seriously. Ni kucheza tu na akili za wana ufipa wachache wanaowaamini. Tulio wajanja tulishawagundua mapema na tunakwenda kumpa kura za kimbunga Dkt Magufuli. Ungana nasi
Hatimae mnakili kuwa Mungu ndiyo ameondoa Corona, lakini mlimpiga vita Magufuli aliposema makanisa yasifungwe watu wamuombe Mungu. Watanzania sio wajinga wanajua nini cha kufanya tarehe 28 October.Corona aliiondoa Mwenyezi Mungu ili tuwe huru na tujipange vizuri kupambana na Muovu kuliko wote Meko na Chanzo Cha Matatizo (CCM).
Kwa hiyo usiwe na wasiwasi mkuu, Mungu yu pamoja nasisi na ana njia zake nyingi sana za kufanikisha maajabu na utukufu wake,Cha msingi mimi na wewe tuweke juhudi za kushawishi wapiga kura wamchague mkumbozi wetu Tundu Antipus Lissu hapo tar 28 Oct
AMIN.....
[emoji2][emoji2][emoji2] apotezee??? Wakati wanaeneza hizo propaganda walidhani zitawabeba kuelekea uchaguzi, sasa mambo yamekuwa tofauti, acha awabomoe tu wajifunze kufanya siasa Safi.Magufuli nae kama hajui siasa anakumbushia mambo ya zamani hayo yashapita ilikuwa siasa tu mbona hao wote waliyokuwa wanapiga kelele za corona sasa hivi hawavai barakoa tena wala kufuata taratibu zozote za kujikinga na corona hii ni kuonesha kuwa ilikuwa ni siasa tu hawakuwa wakimaanisha wanachokisema.
Mbona leo Lissu anashirikiana na ACT wakati alisema ACT kuwa si chama cha upinzani,ni kwamba alisema kisiasa tu hakuwa akimaanisha hivyo na ndio maana sasa anashirikiana nao.
Kwahiyo Magufuli apotezee tu hiyo ishu.
Kwani mie nabisha kuwa corona si ugonjwa wa mlipuko? nachotaka kujua ni kwamba corona(ugonjwa wa mlipuko) imeisha Tz au imepungua?Sasa hivi ni nadra watu kuvaa kondomu, je ni Magufuli amesema ukimwi umeisha? Kuvaa barakoa sio kila mtu alikuwa anavaa kwa kuhofia huo ugonjwa, bali kuna sehemu ulikuwa huingii bila barakoa. Narudia tena mtatufute mtu anayejua Somo la ugonjwa wa mlipuko kisha uje uendelee na mjadala hapa.
Hebu niambie nchi gani bado inatangaza idadi ya maambukizi on daily basis Kama ilivyokuwa awali? Magufuli aliona mbali Sana.Ule ujinga aliofanya kwenye kuzuia matangazo ya corona ndio anatamba nao, inashangaza!
Usipochagua mbunge na diwani wa ccm hapeleki maendeleo eneo hilo,sasa hapo utasemaje habagui? Ingekuwa maendeleo hayana chama basi hata akiwepo mbunge wa Chauma bado atashirikiana nae kupeleka maendeleo kwa sababu maendeleo hayana chama.
Aise, Mungu huyo huyo mnayeamini hawezi ondoa Corona, ndo huyo mnamuomba awasaidie mshinde uchaguzi, Subirini adhabu yenu October 28.Watu kibao tunajua ukimwi upo na wala hatuvai kondom. Kutofuata taratibu za kupambana na ugonjwa, hiyo haimaanishi huo ugonjwa umeisha. Mimi ni mwananchi na ninajua serikali wala maombi sio yaliyoondoa huo ugonjwa, bali huo ugonjwa haukuwa na madhara makubwa kwenye ukanda wetu. Mtanzania yoyote anayeamini serikali na maombi ndio yameondoa huo ugonjwa, ni mjinga kama mjinga yoyote. Imeisha hiyo.
Maono yamesema kama korona isingeondoka CCM wangeongeza miaka mitano mingine ya dezo kwa kisingizio cha hakuruhusiwi mikusanyiko. Inajulikana kuwa CCM na magunia yao mawili wanajuta kwa kujifanya dua zao zimekubaliwa na kujilabu Tanzania hakuna covid19,
Leo wanatamani kizuke japo kipindupindu waahirishe uchaguzi ,sema tu magufuli anajuta kuwa Raisi maana hana rafiki kama alivyo Ali hasani nae hana rafiki.
Sasa jiulize kwanini akitajwa ali hasani mwinyi wazanzibari wanasema laanatulUNADHANI
Angeamua tufungiwe ndani unadhani maisha yangekuwa rahisi? Kuna watu wangekufa kwa njaa, maana Kuna wengine ili apate chakula cha siku ni lazima atoke akatafute.Huyu chakubanga alitusaidia nini ?
Kakimbilia chato kabisa kajificha kamwachia waziri umy kilakitu muoga kama mama yake.
Kwani Chato sio Tanzania? Kwani ndo ilikuwa Mara yake ya Kwanza kwenda Chato akiwa Rais? Kwani Chato Corona haikufika? Nonsense.Hivi si ndiye huyu Jiwe alikimbilia chato kwa miezi kadhaa kipindi cha corona?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nimeuliza swali ndiye yeye au siyo yeye? Hayo mengine ya Chato ni Tanzania au siyo Tanzania hayana hajaKwani Chato sio Tanzania? Kwani ndo ilikuwa Mara yake ya Kwanza kwenda Chato akiwa Rais? Kwani Chato Corona haikufika? Nonsense.