Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Anatuumizaje sasa, magufuli alizuia kuendelea kuchukuliwa kwa vipimo vya corona, kama ana guts aruhusu vipimo viendelee kuchukulia.Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete. Yeye anazungumzia mambo yaliyopita kuwa vingozi wetu walikimbia bungeni mara kujilokudouni hii anatuchafua sana, na kibaya zaidi anasema kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani wanasema Korona itaendelea kwa zaidi ya miaka 2 hivyo anasema kama hawa jamaa wakichukuwa nchi chakwanza ni kutufungia ndani watu kwani vingozi wetu walitoa povu sana kuhusu hilo na mpaka leo hawajakanusha au kulitolea ufafanuzi.
Minaona viongozi wetu tukiwa tumebakiza siku hizi chache walizungumzie hili wapigakura wetu ambao ni wengi sana kwa sasa watupigie kura nyingi na Korona isiwe ishu tena. Kwa sababu kilamtu anajua kipindi cha Korona hari ilikuwa tete sana.
Ujinga wake zaidi ulikuwa kutuma ndege na kabudi mimacho kwenda madagascar kufuata dawa za ugonjwa mnaojitapa tapa kwamba haupo.