Nachokumbuka hayo mazishi ya usiku yalikoma muda sana toka kipindi nyie bado mnapiga kelele za corona,na hadi zile clip zilizokuwa zinasambaa mitandaoni zikionesha mazishi ya usiku zilipotea na muda huo hata maombi ya corona bado,sasa wewe ukija kuniambia sasa hivi habari za mazishi ya usiku nakushangaa.
Tulikuwa tunaambiwa hizo hospitali zinawarudisha wagonjwa wa corona wakajiuguzie nyumbani yani hospitali zilikuwa hazitaki hao wagonjwa ili ionekane corona hakuna kwa maana hospitali hazina wagonjwa wa corona,sasa wewe tena unakuja na habari ya sijui kulikuwa na wagonjwa wa magonjwa ya siri.