Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Naongea kwa msisitizo sasa dawa ina chemka sasa ni wakati mwafaka wa kuwa na chama kimoja tu.Narudia dawa inachemka
Tumechoka makelela na majukwaa yasiyokuwa na tija kwa taifa.
Wanawake mliokuwa mnasomeshwa afu mnaingia mitini dawa imepatikana nadhani mmeona mifano hai
Mnaotumiwa pesa mpaka ya kutolea afu hamji tunaiandaa ni busara mkajirekebisha tu sabu dawa yenu inaweza kuwa kali zaidi ya hiyo mnayoishuhudia mwenye akili ameelewa
Upinzani dawa inachemka sasa ni muda wa kuanza kujisahihisha ikishushwa jikoni hatutaki lawama na mtu acha kujitoa ufahamu