Upinzani katiba nchi hii hatuwafichi sasa dawa ina chemka

Upinzani katiba nchi hii hatuwafichi sasa dawa ina chemka

Aisifuye mvua ujue imemnyea.

Ukiona mtu anaogopa beberu ujue keshatendwa
Acha kujifanya mhimili

Bwana yule itabid aongoze mpaka mwenyezi mungu atakapo mchukua katiba c makaratasi

Tumeamua nchi iende na itaenda kwa machozi na damu

Maendeleo Tanzania ilikuwa shamba la bibi wakwere wanapishana tu sasa marafiki

Kuwa smart brother , vibaraka wa mabeberu utawajua tu
 
Back
Top Bottom