Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Endelea kuchemsha dawa,angalia tu usiinywe mwenyeweNaongea kwa msisitizo sasa dawa ina chemka sasa ni wakati mwafaka wa kuwa na chama kimoja tu.Narudia dawa inachemka
Tumechoka makelela na majukwaa yasiyokuwa na tija kwa taifa.
Wanawake mliokuwa mnasomeshwa afu mnaingia mitini dawa imepatikana nadhani mmeona mifano hai
Mnaotumiwa pesa mpaka ya kutolea afu hamji tunaiandaa ni busara mkajirekebisha tu sabu dawa yenu inaweza kuwa kali zaidi ya hiyo mnayoishuhudia mwenye akili ameelewa
Upinzani dawa inachemka sasa ni muda wa kuanza kujisahihisha ikishushwa jikoni hatutaki lawama na mtu acha kujitoa ufahamu
mwenye macho haambiwi tizama uchaguzi huoEndelea kuchemsha dawa,angalia tu usiinywe mwenyewe
Naongea kwa msisitizo sasa dawa ina chemka sasa ni wakati mwafaka wa kuwa na chama kimoja tu.Narudia dawa inachemka
Tumechoka makelela na majukwaa yasiyokuwa na tija kwa taifa.
Wanawake mliokuwa mnasomeshwa afu mnaingia mitini dawa imepatikana nadhani mmeona mifano hai
Mnaotumiwa pesa mpaka ya kutolea afu hamji tunaiandaa ni busara mkajirekebisha tu sabu dawa yenu inaweza kuwa kali zaidi ya hiyo mnayoishuhudia mwenye akili ameelewa
Upinzani dawa inachemka sasa ni muda wa kuanza kujisahihisha ikishushwa jikoni hatutaki lawama na mtu acha kujitoa ufahamu
Acha kujifanya mhimiliAisee...mimi ku click huu uzima ni part of this problem!
You brother,you belong to Mirembe!
Chama kimoja kinaletwa kwa Bunge kubadili katiba kidemkrasia tuwe na Chama Kimoja!
Kila mtu anataka hicho,itatusaidia tufanye mambo mengine kuliko huu usenge mnaoufanya na serikali yenu

Acha kujifanya mhimili
Bwana yule itabid aongoze mpaka mwenyezi mungu atakapo mchukua katiba c makaratasi
Tumeamua nchi iende na itaenda kwa machozi na damu
Maendeleo Tanzania ilikuwa shamba la bibi wakwere wanapishana tu sasa marafiki
Kuwa smart brother , vibaraka wa mabeberu utawajua tu

me cyo mwanasiasa wa chama chochote ila nimpenda maendeleo kuhusu democracy ni ipi ambayo unaitaka na kip unakosaKudai demokrasia ni kua kibaraka wa mabeberu?
Demokrasia siku hizi ni kitu kibaya?
Kitu kizuri ni totalitarian regime?
Mimi sio mhimili,unajua maana ya mhimili au unabwabwaja tu?
Mabeberu?
View attachment 1258652
Hao hapo mabeberu Mawe anawapigia magoti!
Mimi na mawe nani mlamba matako mabeberu?
kip hujaelewa kwa ufupi hatuhitaji upinzaniAliyemuelewa mleta mada atafsiri
kingine usiamn sana magazet Anglia nchi nini kinafanyikaKudai demokrasia ni kua kibaraka wa mabeberu?
Demokrasia siku hizi ni kitu kibaya?
Kitu kizuri ni totalitarian regime?
Mimi sio mhimili,unajua maana ya mhimili au unabwabwaja tu?
Mabeberu?
View attachment 1258652
Hao hapo mabeberu Mawe anawapigia magoti!
Mimi na mawe nani mlamba matako mabeberu?
Muwe wakweli katika hili siyo mkiona hela za mabeberu mnakuwa wanafkikip hujaelewa kwa ufupi hatuhitaji upinzani
Naongea kwa msisitizo sasa dawa ina chemka sasa ni wakati mwafaka wa kuwa na chama kimoja tu.Narudia dawa inachemka
Tumechoka makelela na majukwaa yasiyokuwa na tija kwa taifa.
Wanawake mliokuwa mnasomeshwa afu mnaingia mitini dawa imepatikana nadhani mmeona mifano hai
Mnaotumiwa pesa mpaka ya kutolea afu hamji tunaiandaa ni busara mkajirekebisha tu sabu dawa yenu inaweza kuwa kali zaidi ya hiyo mnayoishuhudia mwenye akili ameelewa
Upinzani dawa inachemka sasa ni muda wa kuanza kujisahihisha ikishushwa jikoni hatutaki lawama na mtu acha kujitoa ufahamu
brother me cjihusishi na siasaHapo ulipo u mpinzani. Dawa ikiiva uanze wewe kuinywa.
mrembo unakwama wapiMuwe wakweli katika hili siyo mkiona hela za mabeberu mnakuwa wanafki
mabeberu ndo wanajipendekeza mambo mangapi tumefanya na pesa za ndaniMuwe wakweli katika hili siyo mkiona hela za mabeberu mnakuwa wanafki
kingine usiamn sana magazet Anglia nchi nini kinafanyika
me cyo mwanasiasa wa chama chochote ila nimpenda maendeleo kuhusu democracy ni ipi ambayo unaitaka na kip unakosa