Uchaguzi 2020 Upinzani kujitoa kushiriki Uchaguzi Mkuu 2020 siyo uoga wala ujinga, kitakuwa ni kitendo cha ushujaa na uzalendo

Na wale wa sisiem walio katwa unasema je? Ina maana hawa watu ndo wanatuchagulia wananchi kuwa nani ni mgombea, uhuni gani huu! Tusisahau kuwa kuna kuchagua what na kunakuchagua chama?! Mfano Lema hapa Arusha kwa miaka 10 aliyoko alifanya nn? Huwezi mchagua mtu kama huyu ambae hata impact yake kwenye jamii haupo licha ya blah blah! Sasa kwa hali hii wananchi wakimchagua Gambo je tutasema kapendelewa? Same applies pia kwa wegombea wengine hata kama ni sisiem je ulipochaguliwa ulifanya nn jimboni mwako licha ya kupiga meza na kelele na kusema ndio bungeni, umefanya nn?? Ni wakati watanzania tuache siasa za mikumbo, siasa za hisia, tunataka siasa za kiutendaji haijalishi upo chama gani ukishindwa kudeliver ww ni wa kuktwa tu!
 
Kwani chama ni chadema na ACT peke yake?
 
Basi hujasoma maelezo yangu au hujanielewa. Nimesema nimewahi kuwashauri wapinzani mara kadhaa na kuwapa mbinu lakini sikusikilizwa! Hapa si mahali rasmi pa kuweka mbinu, bali vyama husika ndio watu rasmi wa kuwapa mbinu kiofisi (official presentation and submission).

Hapa si ofisini na hakuna mtu rasmi, ni mahali pa maoni yasiyorasmi. Ukiwa na kitu rasmi kwa taasisi unaipelekea taasisi husika!
Mkuu weka mbinu unayodhani tunaweza kupata tume huru ya uchaguzi au katiba mpya. Sioni umuhimu wa maelezo marefu yasiyo na uhitaji wowote kwa sasa.
 

Nitumie inbox huo ushauri ili niwatumie kwa email.
 
Mbona unataka kuweka Moira kwapani dakika ya 2 tuuu.tuendelee acha kukata tamaaa
 
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji12][emoji12][emoji12][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Nikutumie wewe ni nani kwao na kwangu? Nadhani wewe si mtu makini. Mimi sihitaji wakala au dalali maana nazijua itifaki za kitaasisi. Nikuache tu maana najua hunijui

Mkuu umesema husikilizwi, tunataka usikilizwe nayo bado hutaki, ni kwamba una mbinu za kuingia msituni nini, maana hizo ndio siri sana.
 
Duh, sijui nikusaidieje! Niseme tu niko karibu na wanasiasa wengi nchi hii kuliko unavyodhani. Ila kwa sasa inatosha kujua kiwango cha upeo wako hadi unadhani unaweza kuwa wakala, dalali au tarishi wangu.
Mkuu umesema husikilizwi, tunataka usikilizwe nayo bado hutaki, ni kwamba una mbinu za kuingia msituni nini, maana hizo ndio siri sana.
 
Duh, sijui nikusaidieje! Niseme tu niko karibu na wanasiasa wengi nchi hii kuliko unavyodhani. Ila kwa sasa inatosha kujua kiwango cha upeo wako hadi unadhani unaweza kuwa wakala, dalali au tarishi wangu.

Huna lolote jipya bali ni muuza sura fulani tu.
 

Upinzani kujitoa kwenye kinyanganyiro cha kupata Rais, Wabunge, Wawakilishi itikuwa ni “MORTAL SIN” au suicidal( kujinyonga mwenyewe) kama Maalim Seif alivyojinyonga 2015 kwa kususia uchaguzi!!
 
Kila nikikumbuka kuwa binadamu hufa, nawashangaa sana ambao huwatendea wengine ubaya.
Mungu akubariki sana!!

Madaraka Afrika ni njia ya kupata utajiri wa haraka.
Hebu fikiri kwa mwezi mmoja tu Wakurugenzi wasiomcha Mungu wamejikusanyia mamilioni ya pesa toka kwa Wabunge wa CCM wenye hofu ya kushindwa .

Lakini pia kwa sasa watumishi wa umma wana maisha magumu sana na huko mtaani hakukaliki kwani kilimo kinahitaji fedha, biashara ni makodi mengi sana kila kukucha!! Biashara ya uhakika ni siasa hasa ya kupitia CCM huko ndiko ambapo wale matapeli wote wamekimbilia na wanapiga pesa kuliko kipindi chochote .

Baada ya awamu hii kuna watu watakua mabilionea bila kufanya kazi yoyote ya uzalishaji zaidi ya kuwafurahisha watawala na kuvuruga uchaguzi.

Sasa kinachowapa kiburu ni Madaraka na fedha.

Lakini pia wapinzani wabadili kauli yao ya kusema hatutageuza shavu la pili.
Nafikiri wanasahau kuwa anayeleta roho ya ujasiri ni Mungu.
Hivyo ni vyema wapinzani wakasema tutamuomba Mungu atusaidie wakati tukiwa tumeanza kuchukua hatua za kufuta udhalimu.
Maana ya kusaidiwa ni kwamba tayari ulikua umefanya au umebeba mzigo kwa kiasi au umbali Fulani.

Hata Hivyo sijaona Kampeni za kuwaambia wayanzania kuwa Chadema itafanya nini ; zaidi ya kumnanga Mh. Magufuli.
Kwa mtizamo wangu hata kama Magufuli ikatokea akashindwa lakini anastahili heshima kubwa sana kwa kazi aliyoifanya kwa muda wake.
 
Kususia sio dawa bali dawa ni kufight mpaka haki itendeke, mwenzako anaomba ususe ili ale peke yake na wewe unakubali kususa mwenye hasara nani? Misri, Ethiopia, Sudan, SA wapinzani walisusa sana lkn hakuna kilichotendeka.
 

Tungoje tamko lao lakini ni vizuri wajitafakari sasa hivi na watoe uamuzi ila point zako zote nimezielewa. Mwaka huu naona kuna vyama vingi out of the blue zimejitokeza sasa hata ACT na Chadema wakitoka, Je vyama vingine? Utaambiwa viwili tu vimejitoa katika ya kumi na kitu.......kazi naona ni nzito!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…