Uchaguzi 2020 Upinzani kujitoa kushiriki Uchaguzi Mkuu 2020 siyo uoga wala ujinga, kitakuwa ni kitendo cha ushujaa na uzalendo

Zanzibar watu waliacha kuzikana, kuoleana hata kununuliana kwa upumbavu kama huuhuu unaofanyika sasa.
 
Wewe jamaa ni mnafiki sana unaongea kama ni mgeni kutoka Toronto hujui kwamba upinzani ulikatazwa kufanya siasa kwa miaka mitano? Unaongea kama vile hujui kwamba walipothubutu kuongea tu kesi za uchochezi ziliwahusu? Eti wakimya sana daaa!
Kawaida yao ni KUJISAHAULISHA NA WANADHANI WATANZANIA WOTE NI MAZWAZWA KAMA WAO!!!
 
Usichanganye mambo ,sema chadema kujitoa ,usisemee upinzani wote
 
Chadema sidhani kama watajitoa ila ushindi wa mezani sio tija. Nguvu ya wananchi imepokwa na Serikali very sad.
 

Mkuu jitahidi sana ujifunze ili usirudie tena kukosea kazi za udiwani, ubunge, na uraisi nenda kwenye ktb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…