kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM
Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama Halima Mdee
Halima Mdee ni asset muhimu kwa nchi yetu
Najua mCCM mnammezea mate sana lakini mtamuota sana huyu mtamuota sana na hawezi kwenda CCM
Chanzo cha yote hayo ni Magufuli, yule alipora ushindi wa majimbo yote ya Upinzani akamaliza akawagawa viongozi wa upinzani kwa kuwatisha na kuwablackmail
Mdee na wenzake walikosea ndio ila tunawahitaji sana upinzani